Matanga
JF-Expert Member
- Nov 13, 2019
- 2,281
- 3,973
Shaffi dauda's side chick fighting for her dick. Shabiki wa netball unazungumzia football sababu tu huwa unamwona basha wako kwenye TV
weka CV zao hapa.Nmeshtushwa sana na mti mmoja kilaza anasema eti shaffi dauda anaweza akamfikia eddo kumwembe. Nlimtizama nikamwambia kilimanyege kinaweza fikia urefu kilimanjaro.
Nyie mnaona shaffi elimu yake tu nayo ndo hivyo tia maji tia maji.uwezo wake wa kujieleza ni batamaji.
Eddo kumwembe anabaki kuwa ni mwanamichezo na mchambuzi bora kabisa nyuma ya dr leakey.huyu.hana mbishi. Shaffi dauda apambanishwe na salome majogo maana hata ali mayayi ni mzuri.
Bongo ukipiga domo unaonekana mchambuziNa MBWIGA ni mchambuzi au maana wanafanana na SHAFFII DAUDA