Huwezi kuwa kiongozi mzuri kama unatokana na chama chakavu(ccm)

Nikukumbushe

JF-Expert Member
Jun 4, 2013
2,602
408
Tutalalamika sana juu ya ufisadi,viongozi mizigo lakini kitu kimoja cha kujiuliza chui hawezi kuzaa kondoo,na chama legelege na chakavu lazima kiwe na viongozi legelege na chakavu.Hawa ni baadhi ya viongozi legelege na chakavu wassira,pinda,lukuvi,werema,Nkamia,Ndugai,Ghasia,kawambwa,mulugo nk. Viongozi wa CCM wameshindwa kuchukua hatua za kisheria dhidi ya rushwa,ufisadi,uuzaji madawa ya kulevya kwa kuwa ni beneficiaries wa ufsadi,rushwa,ujangili na nk.
Usitegemee kuwa ccm itakuja kukamata majangili,mafisadi nk kwa kuwa wao wananufaika na ufisadi pia wanatokana na chama legelege na dhaifu.
 
attachment.php
jamani maisha bora kwa kila mtanzania ni safari ndefu.
 
Back
Top Bottom