Huwezi kumbatia moto kifuani halafu usiungue!

oba

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
310
65
Tuhuma zote juu ya Serikali au taasisi au watendaji wake kuhusu ufisadi na hujuma kwa raslmali za taifa kama hili la hivi karibuni la Jairo na 50milions zake au Jen Shimbo kumiliki akaunti yenye trilioni 3 haziwezi kwenda hivhivi. Serilkali yaweza kufanya ujanja wa kuficha ficha aibu yake na watu wake lkn ijue kuwa hakuna aliyekumbatia moto asiungue. Serikali inajichimbia kaburi!
nawasilisha!
 
Back
Top Bottom