Huwezi Kufanikiwa Kimaisha bila ya kuwa na mwanamke hapa duniani

wiseboy.

JF-Expert Member
Aug 11, 2014
3,788
2,000
Pamoja na hofu tuliyonayo vijana wengi juu ya wanawake na usaliti wao wa kutisha lakini tafiti mbalimbali zimeonesha kuwa wanaume wengi waliofanikiwa hapa duniani nyuma yao kuna wanawake walioteseka nao au kuwapa moyo au kuwaombea hadi kujikuta wakifanikiwa kimaisha.

Ni kweli wanawake ni pasua kichwa,ila ukibahatika ukapata mwanamke mwaminifu na anayekupenda kwa dhati 'true love' nakuhakikishia kuwa kamwe huwezi kufa masikini,labda usiwe na plan yoyote ktk maisha yako,ila kama una plan lazima ufanikiwe.

Wanawake wametesa na kusababisha mauti kwa wanaume wengi sana kote duniani na wanawake hao hao wamefanya wanaume wengi duniani watajirike.Unapokuwa na mrembo unayempenda naye anakupenda lazima utajituma kwa bidii kufanya kazi ili uwe na pesa,nyumba nzuri,gari zuri na n.k,tofauti na kama unaishi ki bachelor,leo una Amina kesho una Janet kwa staili hiyo ya maisha ni ngumu sana kufanikiwa.

Ukiwa na mwanamke mnaependana lazima utahangaika ili kujenga future ya watoto wenu.Behind every man's success there's a woman.
 

kalagabaho

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
5,294
2,000
pamoja na hofu tuliyonayo vijana wengi juu ya wanawake na usaliti wao wa kutisha lakini tafiti mbalimbali zimeonyesha kuwa wanaume wengi waliofanikiwa hapa duniani nyuma yao kuna wanawake walioteseka nao au kuwapa moyo au kuwaombea hadi kujikuta wakifanikiwa kimaisha,ni kweli wanawake ni pasua kichwa,ila ukibahatika ukapata mwanamke mwaminifu na anayekupenda kwa dhati 'true love' nakuhakikishia kuwa kamwe huwezi kufa masikini,labda usiwe na plan yoyote ktk maisha yako,ila kama una plan lazima ufanikiwe,wanawake wametesa na kusababisha mauti kwa wanaume wengi sana kote duniani,na wanawake hao hao wamefanya wanaume wengi duniani watajirike,unapokuwa na mrembo unayempenda naye anakupenda,lazima utajituma kwa bidii kufanya kazi ili uwe na pesa,nyumba nzuri,gari zuri na n.k,tofauti na kama unaishi ki bachelor,leo una Amina kesho una Janet kwa staili hiyo ya maisha ni ngumu sana kufanikiwa,ukiwa na mwanamke mnaependana lazima utahangaika ili kujenga future ya watoto wenu,Behind every man's success there's a woman.
Maelezo yako pia yanamaanisha unaweza kufeli au kufa masikini katika maisha kwa kuwa na mwanake!..so heading yako haiendani na content ya maelezo yako!
 

peterchoka

JF-Expert Member
Oct 12, 2014
7,376
2,000
basi hapo akina dada watafurahi, lakini sio kweli, wanawake wenyewe hawa wanaotaka mwanaume ready made
 

KikulachoChako

JF-Expert Member
Jul 21, 2013
15,525
2,000
Mafanikio ya mwanaume kamwe hayaletwi na mwanamke kufanya kazi kwa bidii......na wanawake wazuri wanawakimbilia wanaume wenye mafanikio.....
 

Copenhagen DN

JF-Expert Member
Oct 5, 2014
6,054
2,000
Dogoo Leo sijui umeamka vizur. Mara zote hua unapost pumba lakin leo umekuja vizur. Big up Dogoo
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom