Huwezi Amini

imma.one

JF-Expert Member
Sep 10, 2011
542
37
Juma alitumwa na baba yake kwenda kuweka pesa bank Tsh.1,500,000/=
Alikiwa njiani alavamiwa na kuporwa pesa zote.
Akaenda polisi.
Juma:polisi nimeporwa pesa.
Polis:wapi na ilikuwaje?
Juma:Huwezi amini
polisi: Stop na ondoka haraka kimbia kwenda kwenu.
Alipofika home
juma:baba huwezi amini kilichotokea.
Baba:Nini mwanangu
juma:huwezi amini baba nimepata matatizo.
Baba:Ondoka nenda kamwambie mdogo wako (miaka 2).ataweza amini.
Juma alichanganyikiwa
 
Alishindwa kusikilizwa coz alisema hawawezi kumuamini.
So kivipi wamsikilize
 
Ulimakafu unashangaa nini ndo lugha zetu na namna tunazichafua.
 
Yaani huwezi amini kma maelezo yote haya nimetoa ila huwezi amini wengine hawajaelewa.
 
Pia huwezi amini wewe unamatatizo makubwa tu lakini hujijui.
Pia huwezi amini kuwa watu wa karibu yako hawaamini
 
Huwezi amini nilijua kama wapo watakaosoma thread ya kishenzi kama hii kisha wasichangie chochote waondoke.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom