Huwezi amini haya!!!. Hakuna hata mmoja aliye na wake wote tumelazimika.!!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Huwezi amini haya!!!. Hakuna hata mmoja aliye na wake wote tumelazimika.!!!!!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by KAPERO, Aug 7, 2010.

 1. KAPERO

  KAPERO Member

  #1
  Aug 7, 2010
  Joined: Jul 18, 2010
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari wana jf,,,.
  Je mwajua!! Utafiti nilio ufanya kwa WANANDOA zaidi ya hamsini sikupata hata mmoja ambaye anaishi na yule aliye mtaka/mpenda. wote walijikuta wakikosa nafasi na kulazimika kuwa na yule aliye mkubali. na wengine walijikuta wanalazimika kuoana baada ya mimba isiyo tarajiwa! na wengine kwa ajili ya mazingira ya kazi, ushawishi na wengine kwa tamaa za kupata mali au kusifiwa na wengine kuwa wanajua kuchagua!!!!

  Swali, Je mnafikiri ndoa zitaweza kuwa na furaha uaminifu na amani kwa hali hiyo. na

  Je! wewe ni muathirika wa hali hiyo!! utafiti unaendelea,,,,,---!
   
 2. Mkeshahoi

  Mkeshahoi JF-Expert Member

  #2
  Aug 8, 2010
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 2,494
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Hata baba zetu walipotaka kuoa walitafuitwa wake na familia zao...

  mahusiano ni kujifunza kumpenda mwenzi wako uliopewa na muumba. unaweza akmuona mtu, ukampenda lakini huyo aweza kuwa si mwenzi sahihi maishani kwako!!
   
 3. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #3
  Aug 8, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Ukweli ni kwamba binadamu hana control ya kila kitu, tena kwenye mambo ya mahusiano ndio kabisaaaaa, ana asilimia ndogo sana. Kwa cha msingi ni kukubali tu kuwa single au kuishi na yeyote mwene asavali.
   
 4. M

  Malila JF-Expert Member

  #4
  Aug 8, 2010
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,410
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Hata Adamu ilikuwa hivyo hivyo,kwani alimchagua Eva? Au umesahau kuwa MKE MWEMA HUTOKA KWA MUNGU?
   
 5. K

  Kindimbajuu JF-Expert Member

  #5
  Aug 8, 2010
  Joined: Jul 8, 2009
  Messages: 711
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  huo uchunguzi ulioufanya bila ya kueleza namna ulivyofanyika, halafu unakuja matokeo ni uchunguzi gani????
  wewe unatoa hisia zako na si uchunguzi hata kidogo
   
 6. K

  Kilembwe JF-Expert Member

  #6
  Aug 8, 2010
  Joined: Aug 19, 2009
  Messages: 1,132
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Marriage is not about choosing the RIGHT MATE, it is all about being THE RIGHT MATE
   
 7. Ruge Opinion

  Ruge Opinion JF-Expert Member

  #7
  Aug 8, 2010
  Joined: Mar 22, 2006
  Messages: 1,696
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  Atueleze yeye wa kwake, kama kweli anaye, alimpataje?
   
 8. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #8
  Aug 8, 2010
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  kasema uchunguzi bado unaendelea huenda matokeo yakabadika
   
 9. KAPERO

  KAPERO Member

  #9
  Aug 8, 2010
  Joined: Jul 18, 2010
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wapendwa ahsanteni sana kwa umakini wenu. Hakika Mungu ni mwema sana kwetu.

  Mungu awazidishie hekima na busara.

  Naomba niwajibu maswali yenu,, Utafiti nilifanya kwa njia rahisi sana. Nilijitahidi mara nilipokua na marafiki zangu kuwauliza habari juu ya namna walivyo anza safari zao za kuelekea kwenye ndoa. hapo niligundua jambo hilo. na pengine majibu muendelezo wa utafiti , yamejidhihirisha kwa msaada wenu. mnapotambua kua tangu mwanzo wa Ndoa. Adam alipewa mke. na baadae wazee wetu walituozesha wapendwa wao.

  Kwa hayo machache naamini tunazidi kusaidiana katika kutafiti.

  MKE MWEMA ATOKA KWA BWANA,,, HAKIKA BWANA ATUWAZIA MEMA SIKU ZOTE. Ahsanteni sana.. :bowl:
   
 10. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #10
  Aug 9, 2010
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  :nod::nod::nod::nod:
   
 11. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #11
  Aug 9, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 145
  kupata chaguo sahihi ni kazi sana. ni kama enzi zile za burter trade ambavyo double coincidence of want ilivyokuwa tatizo hadi wachuuzi wakatafuta mbadala na ndio wakagundua fedha itumike kama means of exchange. hivyo natoa wito. kwa vile double coincidence of want in marriage life is almost imposible. itafutwe namna nyingine ya kuweza kuwaweka wanandoa [amoja na wakaishi kwa uzuri
   
 12. Da Womanizer

  Da Womanizer JF-Expert Member

  #12
  Aug 9, 2010
  Joined: May 24, 2010
  Messages: 1,561
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Aisee nimecheka sana hapo kwenye red.
   
 13. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #13
  Aug 9, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,495
  Likes Received: 5,725
  Trophy Points: 280
  eeehhh teeehhhh bibi yangu aliolewa baada ya babu yangu kupasukiwa na cindom na kumzaa mama yangu ila wanapendana si mchezo babu ana 95 bibi 83 ya zaidi sijui...mmmh labda zamani kulikuwa akuna kutamaniana hata yakikukuta wanapenda tu
   
 14. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #14
  Aug 9, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 145
  andika vitu vyenye mantiki basi. unazungumzia kondom enzi zipi? ulijuaje kuwa ilipasuka? nyie ndo wale mimba zenu ziliingia wazazi wenu wakiwa bafuni
   
 15. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #15
  Aug 9, 2010
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  Kwanza miaka 95 iliyopita hizo condoms hazikuwepo ....
  Labda atueleze vizuri ...
   
 16. M

  Mgalatia JF-Expert Member

  #16
  Aug 9, 2010
  Joined: Nov 28, 2007
  Messages: 297
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Habari wana jf,,,.
  Je mwajua!! Utafiti nilio ufanya kwa WANANDOA zaidi ya hamsini sikupata hata mmoja ambaye anaishi na yule aliye mtaka/mpenda. wote walHabari wana jf,,,.
  Je mwajua!! Utafiti nilio ufanya kwa WANANDOA zaidi ya hamsini sikupata hata mmoja ambaye anaishi na yule aliye mtaka/mpenda. wote walijikuta wakikosa nafasi na kulazimika kuwa na yule aliye mkubali. na wengine walijikuta wanalazimika kuoana baada ya mimba isiyo tarajiwa! na wengine kwa ajili ya mazingira ya kazi, ushawishi na wengine kwa tamaa za kupata mali au kusifiwa na wengine kuwa wanajua kuchagua!!!!

  Swali, Je mnafikiri ndoa zitaweza kuwa na furaha uaminifu na amani kwa hali hiyo. na

  Je! wewe ni muathirika wa hali hiyo!! utafiti unaendelea,,,,,---!

  ijikuta wakikosa nafasi na kulazimika kuwa na yule aliye mkubali. na wengine walijikuta wanalazimika kuoana baada ya mimba isiyo tarajiwa! na wengine kwa ajili ya mazingira ya kazi, ushawishi na wengine kwa tamaa za kupata mali au kusifiwa na wengine kuwa wanajua kuchagua!!!!

  Swali, Je mnafikiri ndoa zitaweza kuwa na furaha uaminifu na amani kwa hali hiyo. na

  Je! wewe ni muathirika wa hali hiyo!! utafiti unaendelea,,,,,---!


  Mimi siyo muathirika wa hali hiyo ila nina hoja zifuatazo.kila kitu hupangwa na Mungu,hakuna matukio yanayotokea kwa coincidence au bahati mbaya, au nzuri bila kibali cha Mungu. Si kweli kuwa hao wanandoa walikuja kuoana baada ya kukosa waliyemtaka.Ni Mungu alipanga hivyo. Pengine ungeweza kusema vema zaidi katika uchunguzi wako kama uliziona picha zao za ndoa/harusi, je walikuwa wamenuna , wamekasirika na kukunja uso au walikuwa wakitabasamu?. Naamini jibu litakuwa ni kuwa walikuwa wakifurahi na kutarajia mema yote waliyokuwa wakiyatamani katika maisha ya ndoa.tatizo linakuja baadaye maana tunafundishwa kuwa baada ya kufunga ndoa sifa kuu ni kuvumilia maana kiapo chenu kilikuwa kwa Mungu.Kuvumilia kunawezekana zaidi kunapokuwa na lively communication between the two na sifa nyingine nyingi.Na kuishi single pia ni namna nyingine ya kuishi ambayo inakubalika pia.
   
 17. KAPERO

  KAPERO Member

  #17
  Aug 9, 2010
  Joined: Jul 18, 2010
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ahsanteni sana kwa changamoto..!
  Nikujibu Mpendwa mtumishi wa Mungu.
  Sikujaliwa kuziona picha zao za harusi. ila kumbuka kua harusi ni jambo la kijamii, hivyo sio kawaida kulia harusini!!!!., furaha ninayo ikusudia ni pamoja na mawasiliano mazuri ushirikiano wa kirafiki na maamuzi ya pamoja kwa wanandoa. Pengine niseme mara nyingi tukisha shikwa na magumu katika kuamua huwa tunatafuta kisingizio. na kwa bahati mbaya sana tuwapa jukumu hilo sana.... MUNGU,, na mengine amepewa Shetani..

  Mpendwa aliye ishi bila kuoa au kuolewa sio sawa..
  ila kimtizamo mimi nawaona kama wasaliti katika wajibu wa kuiendeleza kazi aliyo ianzisha Mungu.. tena akataka tuendeleze uumbaji kwa uzao wetu.

  Ombi langu kwenu. japo kimbilio letu ni kwa Mungu,, lazima uwajibike kwa yale yahusuyo mwili na ya Roho yabaki kua kwa mungu. hapa ninataka tujue kua sio kweli kwamba kila jambo hupangwa na Mungu. mengi tunapanga wenyewe na kwa kukosa hekima.

  1 wakorintho, 7:1-40,

  (Basi kwa habari ya mambo yale mliyoandka, ni heri mwana mume asimguse mwanamke. ila kwa sababu ya zinaa kila mwanaume awe na mke wake mwenyewe. na kila mwana mke awe na mume wake mwenyewe. ) !!! endelea kwenye biblia yako au ya mpendwa mwenzio kama ipo jirani,,,,,,,,,,,,!.
   
 18. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #18
  Aug 10, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180

  Kilembwe asante kwa hii; naiazima tafadhali!

  Mtafiti Kapero maneno yako ni ya kweli na yanakomelewa na ujumbe wa Kilembwe hapa juu!
   
 19. Mkeshahoi

  Mkeshahoi JF-Expert Member

  #19
  Aug 10, 2010
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 2,494
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Mungu hakupi kila kitu kwa makusudi mema...!!
   
Loading...