Huwa unatumia mbinu gani kumuacha mpenzi wako ambaye umemchoka bila kumtamkia kwamba humtaki?

Zero Competition

JF-Expert Member
Sep 12, 2018
307
448
1627192933901.png

Kila mtu binadamu mbinu yake ya kuachana na mpenzi wake pindi anapoona amemchoka na haitaji tena kuendelea na hayo mahusiano.

Wengine huwatamkia waziwazi wapenzi wao kwamba waachane na wengine hupunguza tu mawasiliano mpaka mahusiano yanakufa kabisa.

Binafsi ninapotaka kuachana na mwanamke ambae nimemchoka hasa yule ambaye anajua nina mke huwa namwambia tu kwamba mke wangu ameshtukia mahusiano yetu kwahiyo usinitafute mpaka nikutafute mwenyewe pindi nitakapoona huku hali imetulia kumbe ndio kimojaaa.

Je, wewe unatumia mbinu gani kumuacha mpenzi ambae umeshamchoka?
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom