Huwa unapata wazo gani unaposikia online business

na mama samia anahimiza vijanaa wajifunzee tehamaa, unaona hadi kamtolea mfano mliki wa facebook,instgram,na whassap alivyokula hasara bil 7 ndani ya masaa? ni zaidi ya mkopo tuliopewaa tril1.3tsh, yeye mwamba mmoja tu anaumiliki asee, halafu sisi ndo tunautegemea wote nchini, wengne ndo watapigiapo simenti amalizie nyumba yake, wale wazee wa kuchezeshaa BOQ na kutumia teminology ngumu za english wanasiasa wasifahamuu nazani mnanielewa .
 
Nawakumbukaga wajinga wa Global Alliance na wale Q net
Ni mwendo wa kushoto kulia, mnaitikia "laki na arubaini"

Mbaf sana
ahaaaa nimewahi kwenda semina global alliance pale kawee, wanakuwa wanarushaa vihera vya noti na kupiga pichaa, nilisema ngoja nisikilize kwanzaa pindii hadi mwsho nipate ukwelii kama ni kweli au laaa, nikausoma mchezo wote nilipowaaga tu aliyenitongoza nikamla bloko ya nguvu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom