Huwa unakuwaje baada ya kuuza mechi..

Tairus

JF-Expert Member
Mar 13, 2013
676
1,055
Ndugu zangu wa JF najua wengi wetu sio wageni kwenye kuuza mechi.

Naposema kuuza mechi namaanisha umeenda kusex na mtu wako na hukutumia zana(kavu)

Mara nyingi huwa ni kwa kukusudia ila muda mwingine unakuza zana hazipo ila ungekuwa nazo ungetumia.

Vituko watu wanafanya baada ya kuuza mechi ni shida,kuna mtu anawahi kuosha mashine fasta akiamini mdudu yuko bado nje hajazama ndani

siku izi kuna dawa zinaitwa PEP kama sikosei unameza ndani ya masaa 72 ila mara nyingi hutumiwa na waliobakwa.

Nimalizie kwa kusema nimeuza mechi nyingi sana ila siku izi nimeacha.Huwa nikiuza mechi namchukua manzi akapime kama yuko fresh maisha yanaendelea.

Ukiuza mechi huwa unachukua tahadhari yoyote?
Kuna wadau hawaamini uwepo wa VVU ila apa nimeongelea tahadhari ya magonjwa yote.
 
Huwa nasema kuumba mechi bila shin guard ni tamu hivi!!!!

Please, play broos
 
umenichekesha hapo kwenye kuosha dudu baada ya ku do Mana ishawahi nitokea nikakimbia moja kwa moja kutaka kupewa doze ya pep , sirudiii ng'ooo kusell mechi
 
mwaka 2015 karibu na uchaguzi hio nliuzaga mechi kwa changu mmoja kinondoni nilikua maji kinoma afu nilifumua rinda nilijuta io siku hata mate sikupaka nilikaa miez 5 sijagusa mwanamke nilienda kupima kihospitali chochoroni uko sinza ili majibu yatoke negative nlikua na mawazo ya kipuuzi sana ila nilipima mara 3 sehem tofauti niko Safi kabisa Big Negative

ukimwi sometimes naona kama upo sometimes kama haupo ivi ila saiv navaa ndom kama zote
 
Back
Top Bottom