Tairus
JF-Expert Member
- Mar 13, 2013
- 676
- 1,055
Ndugu zangu wa JF najua wengi wetu sio wageni kwenye kuuza mechi.
Naposema kuuza mechi namaanisha umeenda kusex na mtu wako na hukutumia zana(kavu)
Mara nyingi huwa ni kwa kukusudia ila muda mwingine unakuza zana hazipo ila ungekuwa nazo ungetumia.
Vituko watu wanafanya baada ya kuuza mechi ni shida,kuna mtu anawahi kuosha mashine fasta akiamini mdudu yuko bado nje hajazama ndani
siku izi kuna dawa zinaitwa PEP kama sikosei unameza ndani ya masaa 72 ila mara nyingi hutumiwa na waliobakwa.
Nimalizie kwa kusema nimeuza mechi nyingi sana ila siku izi nimeacha.Huwa nikiuza mechi namchukua manzi akapime kama yuko fresh maisha yanaendelea.
Ukiuza mechi huwa unachukua tahadhari yoyote?
Kuna wadau hawaamini uwepo wa VVU ila apa nimeongelea tahadhari ya magonjwa yote.