bush crazy
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 757
- 1,020
Jamani wanaume tulio kwenye ndoa, ukiwa umetoka out na mkeo ghafla anapita msichana mrembo huwa mnafanyaje ili mkeo asijue kama umemtamani huyo mrembo? maana mi juzi yamenikuta sitosahau maishani maana alipita mwanamke mrembo daaa! maraika si maraika yaani kaumbika mnara ukaanza kusoma 4G pale pale afu nimechomekea suruali!