Huwa tunasema haya kama utani ila leo nimeshuhudia live, kweli Tecno ni kiboko aisee....

Stephen Ngalya Chelu

JF-Expert Member
Oct 31, 2017
7,620
16,365
Naingia zangu facebook naona wameniandikia kuwa kuna ujumbe mpya moja. Nafungua nakutana na ujumbe wenye picha pekee kutoka kwa msela mmoja ambaye tuliwasiliana kupitia hiyo hiyo facebook siku kadhaa zilizopita.

Picha yenyewe ilikuwa ya mdada, ikabidi nimuombe maelezo kuhusu hiyo picha. Jamaa akaniambia, "Vunga mzee, imejituma yenyewe, si unajua tena mambo ya tecno mzee". Majibu haya yalifanya nifikiri labda yule ni demu mpya wa mshkaji hivyo amenitumia ili nimuone shemela, ikabidi nimuulize japo nilitumia lugha ya tahadhari kidogo.. "Kuwa muwazi, watoa ushauri tupo.." jamaa akawa ameelewa nini namaanisha, akanijibu hivi "Niwe muwazi nini? Huyo ni mdogo wangu, tumbo moja. Unafikiri mimi ni mdhaifu kama wewe?" Basi nikamaliza mazungumzo kwa kumpa pole kuhusu hiyo tabia mbaya ya hiyo tecno yake.

Siwasemi vibaya watumiaji wa tecno ila kuweni makini aisee... Unaweza ukawa umeiweka mfukoni kumbe yenyewe umeshaingia whatsapp imefungua chatting zako na mchepuko, ime-screenshot na kuzituma kwa wife huku ikiambatanisha na ujumbe usemao.."upo nyonyo...!" then inajizima. Unarudi home unashangaa wife anakutoa nduki na mwiko wa ugali unabaki huelewi nini kimetokea....
 
NASIKIA WATUMIAJI WA TECNO HUWA WANAUMIA SANA ILA HAWANA JINSI.
N.B MI NATUMIA ITEL
Yani bora mwenye tecno, hiyo itel ndo bure kabisa. Kuna jamaa aliniuzia ka-touch screen ka itel (siyo smartphone) kwa 45k. Yaani wiki tatu nyingi, kakaanza kuzingua. Kuna siku kakanikera nikakabamiza kwenye sakafu, nilipokabeba nikajaribu kuwasha kakawaka...nikaona kanajifanya kanunda..nikatoa betri, nikakamata na kukavunja katikati kakakaa kama heruvi 'V' kisha nikakaweka mezani nikaanza kukasimanga.
 
Back
Top Bottom