Huwa tunasema haya kama utani ila leo nimeshuhudia live, kweli Tecno ni kiboko aisee....

Nimefanya imagination ya hizi script nimecheka kama mwehu.
Siwasemi vibaya watumiaji wa tecno ila kuweni makini aisee... Unaweza ukawa umeiweka mfukoni kumbe yenyewe umeshaingia whatsapp imefungua chatting zako na mchepuko, ime-screenshot na kuzituma kwa wife huku ikiambatanisha na ujumbe usemao.."upo nyonyo...!" then inajizima. Unarudi home unashangaa wife anakutoa nduki na mwiko wa ugali unabaki huelewi nini kimetokea....
 
Itel namba ingne mbovuuu sana, infinx ni tecno iliyochangamkaaa....wote hao ni baba na mama mmoja, hahaha
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom