MSEZA MKULU
JF-Expert Member
- Jul 22, 2011
- 3,763
- 5,591
Kama mama na bibi zetu wanakomaa namna hii tusilale njaa, Leo vijana wengine Graduates maelfu tunalala tunaangalia movie, series, games, vijiwe vya pool table tunaisubiri serikali ituletee ajira. Na wengine wanajifanya WANASHINDA MAKANISANI na MISIKITINI badala ya kufanya kazi.
Huyu ni mama wa mchezaji Maarufu wa Nigeria (Super Eagle) Rashid Yekini miaka minne baada ya kifo cha mwanae