nduza
JF-Expert Member
- Feb 7, 2019
- 1,595
- 2,497
GDP na population haiwezi kumatter sana katika hii PK kawekeza sana kwenye jeshi lake mzee kuanzia intelligensiaWewe pimbi nchi yenyewe GDP per capital iko USD 800 wakati Tanzania tupo usd 1300 population tupo 55m wao 12m hawana ubavu wa kuendesha vita miezi 6 wale watu maskini sana achaneni na hizo propaganda zao ingia Rwanda kashuhudie umaskini wa kunuka
Na naomba pia kujua GDP ya north korea lakini pia nafasi Nigeria kijeshi
Kumbuka pia PK ni dictator kwahiyo anajali yeye kwanza alafu ndiyo baadae wananchi wake sasa suala La mwananchi kuwa na income ndogo haihusiki sana na uimara wa jeshi lake