Huwa nawaza, hivi ile vuta nikuvute ya Kikwete na Kagame ingekuwa ni Magufuli ingekuwaje?

Wewe pimbi nchi yenyewe GDP per capital iko USD 800 wakati Tanzania tupo usd 1300 population tupo 55m wao 12m hawana ubavu wa kuendesha vita miezi 6 wale watu maskini sana achaneni na hizo propaganda zao ingia Rwanda kashuhudie umaskini wa kunuka
GDP na population haiwezi kumatter sana katika hii PK kawekeza sana kwenye jeshi lake mzee kuanzia intelligensia
Na naomba pia kujua GDP ya north korea lakini pia nafasi Nigeria kijeshi

Kumbuka pia PK ni dictator kwahiyo anajali yeye kwanza alafu ndiyo baadae wananchi wake sasa suala La mwananchi kuwa na income ndogo haihusiki sana na uimara wa jeshi lake
 
Back
Top Bottom