Huwa najiuliza lakini nakosa jibu

Ooyooo samahani mi ni kitambo sana maeneo hayo kufika nnasikia kuna moshi mwengi wa kukanga masamaki na moshi wa bangi na vibaka ndio home na maafande wapo lakini wako bize na mtu wa makosa tu
 
Kwa sababu mtu anaposhuka na pantoni anakua katika vertical motion, ili kuja katika rest lazima aende horizontal motion kama alivoelezea newton katika law zake ndio maana hata ukichupa katika gari unatakiwa kwanza ufanye kama unaifukuza yani bila ya hivo unaweza kuanguka isipokua ukiwa na uzoefu
 
Ni kweli lakini huwa wanakimbia kwa umbali kidogo
 
Ndio na wanaposhuka hawashuki katika angle ya 90 wanatengeneza angle fulani hivi na wanaenda mbali ili lile pantoni lisijeshuka kwenye vichwa vyao na kuwafunika
 
aaaah kudadeki...!! kweli nimekubali!! nadhan jamaa karidhika!!
 
Kwa sababu mtu anaposhuka na pantoni anakua katika vertical motion, ili kuja katika rest lazima aende horizontal motion kama alivoelezea newton katika law zake ndio maana hata ukichupa katika gari unatakiwa kwanza ufanye kama unaifukuza yani bila ya hivo unaweza kuanguka isipokua ukiwa na uzoefu

Kama hivi ndivyo (nachelea kuamini hili) basi tutakuwa wanasayansi wazuri....
pili why only Kigamboni if at all sio kasumba tu? Why not busisi even Kamanga?
 
Back
Top Bottom