kaka cliff
Member
- May 18, 2014
- 43
- 7
Hivi kwanini abiria wa kwenye pantoni pindi wanapoteremka kwenye pantoni wanakimbia?
wanawahi daladala
Kwa sababu mtu anaposhuka na pantoni anakua katika vertical motion, ili kuja katika rest lazima aende horizontal motion kama alivoelezea newton katika law zake ndio maana hata ukichupa katika gari unatakiwa kwanza ufanye kama unaifukuza yani bila ya hivo unaweza kuanguka isipokua ukiwa na uzoefu
Ni kweli lakini huwa wanakimbia kwa umbali kidogo
aaaah kudadeki...!! kweli nimekubali!! nadhan jamaa karidhika!!Ndio na wanaposhuka hawashuki katika angle ya 90 wanatengeneza angle fulani hivi na wanaenda mbali ili lile pantoni lisijeshuka kwenye vichwa vyao na kuwafunika
Mimi huwa sikimbiagi mbona?
Mimi huwa sikimbiagi mbona?
Ndio na wanaposhuka hawashuki katika angle ya 90 wanatengeneza angle fulani hivi na wanaenda mbali ili lile pantoni lisijeshuka kwenye vichwa vyao na kuwafunika
Duuh!, hapo ndio umenipoteza kabisaaa
Kwa sababu mtu anaposhuka na pantoni anakua katika vertical motion, ili kuja katika rest lazima aende horizontal motion kama alivoelezea newton katika law zake ndio maana hata ukichupa katika gari unatakiwa kwanza ufanye kama unaifukuza yani bila ya hivo unaweza kuanguka isipokua ukiwa na uzoefu
Mimi niliwah kukimbia siku moja bila kuelewa kinachoendelea.. Wakati mwingine nilifikiri ni sheria kufanya hvyo
Basi hujui kutumia pantoni wewe, jipange mkuu.
Mimi niliwah kukimbia siku moja bila kuelewa kinachoendelea.. Wakati mwingine nilifikiri ni sheria kufanya hvyo
Siku nyingine fanya kitu kwa kureason