Huwa najisikia kinyaa mwanaume akiyaangalia makalio yangu - Amanda

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,315
33,110
"HUWA NAJISIKIA KINYAA MWANAUME AKIYAANGALIA MAKALIO YANGU"......AMANDA



1.jpg


STAA wa filamu za Kibongo, Tamrina Poshi ‘Amanda’ amefunguka kuwa anakasirishwa na tabia ya baadhi ya wanaume kupenda kumtazama sehemu ya nyuma ya mwili wake akimaanisha makalio.


Akizungumza na Mpekuzi wetu, Amanda alisema siku zote anakasirishwa na wanaume hao wanaofanya hivyo bila sababu za msingi na kuanika kuwa jambo hilo huwa linamkera kupita maelezo.

amaanda-poshi-534.jpg

“Utakuta mwanaume anatumia nguvu nyingi kukutazama makalio hadi anakukosesha raha.


Kwa nini asiniangalie na viungo vyangu vingine? Kwa kweli inatia kinyaa sana. Kwa taarifa yao wataishia kula kwa macho,” alifunguka Amanda.
 
Usijisikie kinyaa maana wewe siyo mwenye kufaidi kitu hiyo. Ungejua anavyojisikia akiyashika au kuyaona usingejisikia kinyaa bali fahari. Tuyaache ila Mzizi Mkavu una mambo bwana mdogo.
 
Last edited by a moderator:
Mbona kakaa kujibinua binua? Huyo anataka sana tuangalie wowowo ake na mapaja maana yako wazi.

Promo Tu anatafuta
 
Kwan ahajaona nguo za heshima,makalio yenyewe hana kihivyo asijipigie debe hapa avae dira au hijabu aone kama kuna mtu atamtolea macho
 
"HUWA NAJISIKIA KINYAA MWANAUME AKIYAANGALIA MAKALIO YANGU"......AMANDA



1.jpg


STAA wa filamu za Kibongo, Tamrina Poshi 'Amanda' amefunguka kuwa anakasirishwa na tabia ya baadhi ya wanaume kupenda kumtazama sehemu ya nyuma ya mwili wake akimaanisha makalio.


Akizungumza na Mpekuzi wetu, Amanda alisema siku zote anakasirishwa na wanaume hao wanaofanya hivyo bila sababu za msingi na kuanika kuwa jambo hilo huwa linamkera kupita maelezo.

amaanda-poshi-534.jpg

"Utakuta mwanaume anatumia nguvu nyingi kukutazama makalio hadi anakukosesha raha.


Kwa nini asiniangalie na viungo vyangu vingine? Kwa kweli inatia kinyaa sana.
Kwa taarifa yao wataishia kula kwa macho," alifunguka Amanda.

Hapo kwenye red. Kumbe analiwa 0713......!
 
Back
Top Bottom