Huwa naenjoy kusoma yaliyo andikwa nyuma ya daladala........

Huwa naenjoy sana kusoma
yaliyoandikwa nyuma
ya daladala hasa ninapokuwa kwenye
foleni.
Misemo maarufu
ya kwenye daladala. 1.Yatima hadeki
2.Utamu wa chips mimba
3.Ukitaka kujua ugumu wa kudai
kopesha ukweni
4. Usiyempenda kaja
5. Kobe hapimwi joto 6. Acha kazi uone kaz kupata kaz
7. Ukichezea koki utalowa
8. Heshima pesa kipara kovu tu!
9. Mtumbwi hauna saitmira.
9. Silaha pesa bastola mzigo
10. Hata uoge mjini huendi 11. Chezea mshahara usichezee kazi.
12. Ukiona manyoya ujue kishaliwa
13. Ikisimama Panda
14. Pombe pombe tuu kunywea bar
mbwebwe
15. Njia ya chooni haioti nyasi 16. Likizo ya maskini ugonjwa
17. When i grow up i want to be a scania
18. Hata bibi alikuwa binti
19. Kisigino hakikai mbele
20. Kama mapenz pesa kaolewe na benki
21. Hata barabara ina matuta lakin huwez panda
viazi
22. Mavi hayana miba lakin ukikanyaga
lazma
uchechemee
23. Paka haishi kwa msela 24. Ukipendwa ujue kuna boya kaachwa
25. NIPO NIPO KWANZA
26. Mchana nzi ucku mbu
27. Ucmshangae funza kukata viuno ndio
mwendo
wake 28. Kama umelipenda(gari) bonyeza
nyota liwe lako
29. Supermarket hawauzi mkaa
30. We nisubiri mi nakungoja.
31. Zetu dagaa kuku tamaa
32. Hata uwe na heshima vipi huwezi kumpokea
askari bunduki
33. HapaKaziTu 34. .....
Kanzu haiwekwi mlegezo.
 
MICHANGO YA HARUSI INATUBOA, KWANI MKIOANA BILA HARUSI HAMZAI

DILA BILA TAKO,,, HAKIKA WEWE NI NABII TITO
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom