Huwa kila siku natafakari umuhimu wa Baba katika maisha ya kila Familia

Dingi yangu nilikua namuonaga wa maana nilipokua mdogo ila nimekuja kua mtu mzima nikafikiria his life decision skills,ninaona ni wa hovyo sana so far.....

Kupata wazazi au mzazi generally ni vizuri ila wazazi au mzazi mwenye akili ya intelect is something else entirely
Haina neno, kwa sababu ulimuona wa maana, ila baada ya kukua unamuona sio wa maana tena. Unafanya jambo la maana kwa hizo dharau zako. Nyongeza yake ni kuwa unafanya haya, baada ya kukua. Pia unatuonesha upumbavu wako. Sio hilo tu, umetuonesha kuwa hujui WHAT GOES AROUND ALSO COMES AROUND, wanao wanakuja kwako na hiyo agenda, jiandae. Utake usitake wanakuja kwako na kukusema vibaya. Kanuni iko wazi
 
Kuna mengi sana yamejificha na Mzee au Mama hawezi kukwambia....kama wewe ni wa kiume ukikua unaweza kujifunza kitu...Usimchukie huyo Baba yako muombee kwa Mungu na Omba sana siku utajua ukweli na utajua shida ilikuwa wapi...ni mitihani sana....(kipo kisa cha binti aliyeachika siku chache baada ya ndoa tena akiwa mna mzito, nikiiangalia picha inavyooenda wasiojua wanaweza kumhukumu mwanaume kulingana na maelezo ya huyu dada lakini ipo siri ambayo naona haizungumzwi na binti wala jamaa ambayo ni ujinga wa binti, hapo kiumbe kikizaliwa kikikua kinaweza kuwa na chuki kwa jamaa lakini ukweli mama anaujua..)
SALUTE KWAKO, UMENENA VEMA.
UGOMVI WA MAMA NA MUME WAKE HAUKUHUSU MTOTO.
ACHANA NAO, USIBEBE VISIVYOKUHUSU.
Mtu mzima anayemlaumu baba yake, binafsi namuona bado hajakua. Maana laiti angejua yaliyo nyuma ya pazia, asingemsema hovyo hovyo BABA YAKE. Inawezekana kabisa, wanaosema vibaya, wakajikuta wanafanya makosa yaleyale, pia inawezekana wako kwenye adhabu na hawajijui kuwa wako kwenye adhabu. Ila wale wajuvi wa mambo wanajua, wanaobebesha adhabu kwenye familia ni akina nani, never abuse your father, usipoadhibiwa usidhani uko salama. Selemani alifanya madudu, hakuadhibiwa, angalia kilichowapata watoto wake!!!!
 
Nilipokua mdogo nilikua sina wisdom...

What wisdom do you get from a 10 year old au 16year old au 22 year old wewe?

Nimekua mtu mzima,ku-refer decisions alizokua anafanya,ni very poor.

Na hiyo ni honest evaluation,siwezi mpa A mahali anatakiwa kupata C eti sababu anaitwa "baba"..mimi sio mnafiki mzee

Natoa analysis ya nachoona na sipindishi neno na blah blah.

Hiyo upumbavu wako wa eti ni "dharau" and blah blah ni nonsense na your own opinion ya kuishi kwa fear mpaka unakua mnafiki

Fear zinazofanya mtu awe mnafiki ni toxic....get outta em.
sio fear, wala shangazi yake hofu. Kanuni iko wazi. Yupo mpendwa anayeitwa uzao wa laana. Angalia hata analysis yako iko very negative about your dad. Wewe ni nani hata umuhukumu BABA YAKO, eti unatoa maksi C. Well, kanuni iko wazi, kuna gharama. Angalia wanao nao watakupatia maksi hizo, na sio ajabu ukascore chini zaidi. TAKE NOTE, YOUR FATHER IS NOT YOUR UNCLE
 
Back
Top Bottom