Huwa inanishangazaga sana hili swala

Morg

JF-Expert Member
Oct 20, 2018
1,301
1,766
Hivi kwa nini wanawake wazuri asilimia kubwa huwa hawanaga akili hasa akili za kimaisha. Unakuta kabinti ni mashalah kameumbika kila sector lakini kichwani ni empty .

Huwa wanatuweka kwenye wakati mgumu waowaji ambao ndo sisi tunaotaka kujenga Tanzania imara kupitia Ndoa imara katika miundombinu Bora kabsa kuanzia ndani ya famili

Je ulishawahi kukutana na mwanamke wa hivyo. Mimi nina ushuhuda alikuwa mrembo lakini alikuwa Hana akili ya kimaisha yeye alikuwa Life style yake ni bata kuvaa na kugoogle kila dizain ya mishono ya vitenge kila muda anawaza kununua simu toleo jipya kuweka kucha bandia hata kuchemsha maji hajui lakini kwa macho ni mzuri nilishindwana nae
 
...ishi na misemo hii

1:- uzuri wa mkakasi ndani kipande cha mti....

2:- Mungu si athumani akupe vyote we nani...

3:- uzuri wa mwanamke ni tabia shepu na sura majaaliwa...

4:- Muogope kama moto mwanamke ambae anaeona uzur wake ni bora kuliko tabia yke..

UZURI NA TABIA YA MTU NI VTU VIWILI VISIVYO FUNGAMANA KABISA,UZURI UVUTIA MACHO NA MOYO ILA TABIA ULETA UTULIVU WA AKILI NA MOYO.

nina jamaa zangu walivyokuwa hawajaoa walikuwa watu wa totozi nzuriii hatarii...Ila wake waliokuja kuwaoa duuuh ndo nkajajua hiyo formula...
 
Huwa mnakutana nao wapi hao wazuri wasio na akili? Nadhani inategemea na muhusika mwenyewe na perspective zako, i got a lot of "beauty with brain" in my cycle.

Let's meet at the top, cheers 🍻
 
Mtu akiona kila kitu kirahisi kwake ata akili ya kupengenyua haikuwepo
 
...ishi na misemo hii

1:- uzuri wa mkakasi ndani kipande cha mti....

2:- Mungu si athumani akupe vyote we nani...

3:- uzuri wa mwanamke ni tabia shepu na sura majaaliwa...

4:- Muogope kama moto mwanamke ambae anaeona uzur wake ni bora kuliko tabia yke..

UZURI NA TABIA YA MTU NI VTU VIWILI VISIVYO FUNGAMANA KABISA,UZURI UVUTIA MACHO NA MOYO ILA TABIA ULETA UTULIVU WA AKILI NA MOYO.

nina jamaa zangu walivyokuwa hawajaoa walikuwa watu wa totozi nzuriii hatarii...Ila wake waliokuja kuwaoa duuuh ndo nkajajua hiyo formula...
Ongezea na msemo wa kichina MKE MBAYA HADHINA YA NYUMBA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom