Huu wizi!

Apollo one spaceship

JF-Expert Member
Jan 28, 2021
242
431
Rafiki yangu yupo mkoa "A",ni wakala wa mitandao ya simu.Kuna mteja alikuja dukani kwake;akamwambia,"Kaka nataka kukwepa tozo ya kutumiwa pesa,naomba namba yako ya uwakala nimtumie mtu yupo mkoa "B" akuwekee pesa afu unipe cash"
Kwa kuwa walikuwa wamefahamiana kwa muda fulani,rafiki yangu alikubali.Yule jamaa aliye mkoa "B" aliweka pesa,rafiki yangu aliiona pesa na kumpa yule mtu cash.
Ebhanaaee kumbe yule jamaa wa mkoa B akawapigia mtandaoni kuwa ametuma pesa kwa bahati mbaya hivyo aliomba wai"withhold" afu wairudishe.
Rafiki yangu kuja kushtuka hela inarudishwa,alipofatilia,yule jamaa wa mkoa "B" akasema hafahamiani na yule aliyechukua hela,hivyo hela zikawa zimeenda hivyo.
Aliwapigia mtandaoni wakasema anahujumu kampuni kwani nao wanategemea faida ya tozo.
Tuwe makini!!!
 
Ww ni mwehu lengo lako tushalijua, tutaendelea na hiyo system kama kawa kukwepa hizo tozo za kipuuzi
 
Ninavyojua mtandao hawawezi kurudisha muamala wowote bila kumuuliza wakala labda kama Kuna aliepo kwenye mtandao husika anatumika kuiba
Mara nyingi mitandao wanaangalia eneo yani minara ndio maana hawatak wakala atume pesa kwa mteja au wakala ambae yupo nje ya eneo lake kwa njia iyo ikitokea mteja au mtu amelalamika amekosea ata kama watakupgia ni kujirizisha tu lkn ela watairudsha ukikomaa sana ,wataizuia kuwataka mukutane watakapoamua wao tatzo linakuja je atakuja yule yule aliekuja siku ya kwanza kwako
 
Uko sahihi..
 
Back
Top Bottom