Huu wizi wa magari unaoongezeka. Wanatumia mbinu gani na wanawezaje kuyatumia bila kudakwa?

Signal za kufunga milango ya gari (alarm remote) ni tofauti na zilizondani ya immobiliser system ya funguo na control box. Hivyo it makes sense kwamba wataweza kufungua milango, ila sio kuwasha gari, nakataa.

Sijui sana immobiliser system ya funguo na control box.

Ila Nadhan unajua kuwa hata funguo za gar zina signals.

Sasa hawa wezi huwa wanahangaika kukaa karibu na ww mwenye funguo na wakishapata hizo signal wanatumia hizo devices kuiba gari bila funguo.

Nina gar imetoka japan na ni ya mwaka 2005 na tangu 2012 huwa naiwashaga na remote na sio funguo.

Thus why nikawa interested kufanya utafit kwenye hii ishu.

Kwsababu naamin, kama hiki kiremote kidogo tu, kinafungua milango na kuwasha gar, mtu akikihack, si ndio mchezo umeisha.

So its the same wanafanya kwa IST, wanatafuta frequency signal. Then wakizipata ndio wanatumia kufungua na kuwasha gari.

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Ila Nadhan unajua kuwa hata funguo za gar zina signals.

Sasa hawa wezi huwa wanahangaika kukaa karibu na ww mwenye funguo na wakishapata hizo signal wanatumia hizo devices kuiba gari bila funguo...
Wanachofanya ni kwamba ukipeleka gari gereji na ukamwachia fundi funguo, wanaenda kui-tengeneza copy kwa kuchonga nyingine na kucopy ile programming iliyo ndani ya immobiliser ya funguo, ni kama unavyocopy program kwenye flash, so wanakua wanacopy exactly kama funguo ya gari lako na inawasha kama yako.

Siku ukienda kulichukua wanaanza kukufuatilia ruti zako hata mwezi mzima, kuna pikipiki analipwa kukufuatilia unapoenda na unapopaki, wakishajua routine yako basi siku wanakuja na ile funguo yao, wanafungua kama yao , wanawasha gari na kuondoka nalo kama lao.
 
Fungeni track. oooohh !!kama wenzenu south Africa ata kama imeibiwa inaonyesha gari ipo wp na ata kama wakitoa betri bado inaonyesha labda waifumanie iyo track sawa lakini bila ivyo.

Gari yko unaipata2 ila tatizo moja2 serikali yetu ipo nyuma kidogo kwenye mambo ya technology maana iyo track inatakiwa iendeshwe na kitengo maalumu yan kama umeibiwa unatoa taarifa kituo cha police hau watu waliokufungia track then wanashilikiana na police kuitafuta gari track iyo inakua inaonyesha popote ilipo gari hau inapoenda inakuonyesha .simple and easy - FUNGENI CAR TRACK

Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
 
Wanachofanya ni kwamba ukipeleka gari gereji na ukamwachia fundi funguo, wanaenda kui-tengeneza copy kwa kuchonga nyingine na kucopy ile programming iliyo ndani ya immobiliser ya funguo...
Kuchongesha funguo ya gar nadhan haiwez kufanywa bila kubadili vitu kwenye control box.

So ni ngumu kufanywa kama hivi unavyosema ww.

Naanisha Control box signals na Key signals lazima ziendane, sasa wanawezaje kujua bila contol box?.

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Kuchongesha funguo ya gar nadhan haiwez kufanywa bila kubadili vitu kwenye control box.

So ni ngumu kufanywa kama hivi unavyosema ww.

Naanisha Control box signals na Key signals lazima ziendane, sasa wanawezaje kujua bila contol box?.

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Wenye magari wenyewe huwa wanachonhesha funguo za akiba incase original umepotea, na haubadilishi kitu so as long as ile exact programming kwenye original key immobiliser imekuwa copied
 
Ikiwezekana unafungua na taili kabisa Hahahaha

Kama una mnyororo mzuri unafunga kwenye mti na kufuri ya maana. Nakumbuka 2017 nilikua kwa uncle sasa fensi ilikua haijakamilika kulikua na vibaka sana kule boko. Uncle akanunua dog alikua anamfunga kwenye gari anapitisha chain kwenye tair sasa mwizi akaja mbwa kalala alikua mdogo sasa ile kuanza mafekeche mbwa si akabweka jamaa walikimbia hovyo si unajua hawakutegemea kama kuna mbwa pale tulisikia vishindo mtu kaanguka waliacha mavifaa yao, hawa jamaa wako vizur wanavifaa vya ajabu sana wamejipanga wnamadawa ya ajab ndo wanapuliza ili ulale vzr
 
Hao wezi wa ajabu wanakimbia mbwa si wangemrushia pande LA nyama waendelee na Yao

Hizo dawa za usingizi dawa yake maji weka maji ndani yaache bila kufunika
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom