Huu wizi ni wa namna gani?

Inaitwa eye to eye hypnosis.

Ni technique ya kawaida kumtia mtu usingizi (trance) then unampa commands (positive suggestion) yeye ata obey kila unachomwambia. Hata kama ana hela bank anaenda kutoa anakupa akiwa hajielewi hadi utakapompa command nyingine ya kumuamsha, wachungaji pia huitumia sana makanisani kuwapora pesa na vitu waumini na pia vituo vya polisi kwenye kesi sensitive huitumia.
Mkuu hypnosis hai work kirahisi kama unavoielezea...na trust me hakuna polisi tz anaeweza kumuweka MTU nusu usingizi nusu macho ili atapike.....ni process ambayo inahitaji muda na client akili iwe imetulia....sembuse MTU kasimama ndo umfanyie mild hypnosis. ?
 
Back
Top Bottom