Huu wizi kwenye bomba la mafuta Kigamboni ni hatari

Luqman mohamedy

JF-Expert Member
Jul 24, 2016
892
1,226
Hawa jamaa nadhani washakuwa matajiri

Najiuliza hakuna system ya kucontrol au kutambua leakage katika bomba hili.

Mi nadhani wa kuwakamata ni wasimamizi na walioliweka bomba mtu wa kawaida kupamban mpaka kutoboa bila system kujua ni uongo mkubwa.

Wacha wafu wazike wafu wao....hapo wamechomeshana baada ya mgao kwenda kombo au lah haiwezekani kitu kama hicho kifanyike kihunihuni bila mamlaka husika kujua....Wacha wajitekenyebyeyu macho!
 
Hiyo kitu kwa bomba la TAZAMA linalopita mapolini watu walishakuwa matajiri mpaka basi. Maana unatoboa huko polini unanyonya unajaza magari unaenda kuuza vituo vya mafuta! Wengine umasikini tunautaka wenyewe kwa kulaza bongo zetu! Hao jamaa watakamatwa sababu ya kula maandazi na kuacha midomo na mafuta ya kupikia
 
Ila ww jamaa unawachomea mabaharia wanaopambana na maisha
 
Aliachiwa mwaka 2017 may 5. Alipokua na 69 years na sio kuachiwa 2021 as you wrote. All in all napenda watu wanaoleta mada kama hizi wengi wanajifunza
 
Back
Top Bottom