Huu wimbo wa zamani naupenda sana

Jamani kuna wimbo sikumbuki unaitwaje (ila nadahani sijui BABA PAROKO) na kaimba nani ila baadhi ya beti zake ni hizi; naleta mashtaka kwako baba paroko........., ni wiki sasa mke wangu hatuongei......, nanyimwa haki yangu ya ndoa....., nikimgusa napigwa kipepsi....
 
Kaimba baba yke banana zorro zahir zorro
 
Trachomatis jamaa anaimba nilipofika nyumbani kwao ooooh niliyakuta makundi ya watu jamani wakaniambie eti amefariki usiku wa jana kuamkia leo mawazoooo.
 
Mimi sielewi nifanye nini
Ooh mama pili eeh
Mapenzi ya safari yamenichosha
Leo mimi kesho yule sitaweza
Pili eeh pili mtoto wa tanzania
Pili we muswahili mujanja mingi
Usiku na muchana nakutafuta ninauliza uko wapi magomeni mapipa
Unieleza mama yoyooo
Pili eeh mbona mimi sikuelewi
Pili sema ukweli wako amua wewe
Usiku na muchana nakutafuta
Pili nasema mpenzi unielewe unieleze nipate kujua
Mapenzi gani mama imekuwa kama kampuni
Duh moja one na moreno batemba kitu pili muswahili.
 
Napenda saaana oldiees.....

Asha mwanasefu~ msondo ngoma

Cheusi mangala...

Masoud....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom