Huu wimbo wa Rihanna "Te Amo" una ujumbe gani?

1. Naam
2. Hiyo kukataa inaweza kuwa ni reverse psychology tu au mind game. Watu wa PR wanajua vizuri zaidi. Controversy sells.

NB: Ambacho kipo tofauti ni video. Yenyewe inaonesha wamekubaliana ndio maana wanashikana shikana sana.

Mchongo si mchongo?
Nakumbuka Haji Manara akiwa Simba alikuwa anaposti jezi za Yanga anaziponda kumbe ni promotion 😂
 
Mkimalizana na huo mje mnisaidie na huu wa Sarah Bareilles she used to be mine
 
Asante,Kwahio inaweza kuwa anampenda mwanaume pia?Japo kwenye video wanaonekana wadada watupu?
I understand
That we all need love
And I'm not afraid
To feel the love, but I don't feel that way

Hapana kwenye hii mistari inaonyesha anaemtaka ni lesbian lakini yeye hafeel mapenzi ya hivyo
 
I understand
That we all need love
And I'm not afraid
To feel the love, but I don't feel that way

Hapana kwenye hii mistari inaonyesha anaemtaka ni lesbian lakini yeye hafeel mapenzi ya hivyo
Asante kwa ufafanuzi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom