barafu
JF-Expert Member
- Apr 28, 2013
- 6,739
- 32,863
Huu wimbo wa Beka Ibrozama kwa kweli ni wa "level" nyingine,unasikilizwa na kupigwa hata katika kumbi kubwa za miziki nje ya nchi.Juzi nilikuwa sehemu ukapigwa watu wengi walidhani itakuwa ni mwanamziki nje ya mipaka ya Afrika.Ni wimbo mzuri unaostahili "promotion" ya kimataifa,kuanzia "video" yake mpaka "Lyrics"
HONGERA SANA BEKA.....YOU ARE A REAL TALENTED BOY