Huu wimbo una hisia tamu sana

Jamani Mwenye kuwanao wimbo fulani hivi unapigwa Clouds Fm unasema nitakutumikiaa! nathibitisha kwa juhudi naniaaa! kama ilivyo leo nitajaribu tena kesho! nitakutumikiaa!
wimbo huu unanivuta kihisia sana! msaada wakuupata mazee naomba!
me nnao nakurushia vp sasa
 
Nioneshe ishara, nitakufuatilia
Nikabidhi jukumu, nitalisimamia
Niagize chochote, nami nitakuwasilishia
Nitume popote, na safari nitashughulikia
 

Attachments

  • Tunakufungulia dunia hit radio song 2019 - clouds fm tanzania.mp3
    3.9 MB · Views: 43
Hivi yule jamaa aliyetengeneza jingle ya Dj dea anaitwa nani wananzengo?
 
Nioneshe ishara, nitakufuatilia
Nikabidhi jukumu, nitalisimamia
Niagize chochote, nami nitakuwasilishia
Nitume popote, na safari nitashughulikia
Shukrani mkuu, hivi vionjo vya clouds media group nilikuwa napakua tubidy, lakini kwa sasa hawaeleweki.
 
Back
Top Bottom