Huu wimbo mpya wa WCB ft Diamond quarantine wamekopi hapa??

Sharobaro la jf

JF-Expert Member
Apr 23, 2020
237
323
Wakuuu nimeusikiliza wimbo wa wcb ft diamond platnumz unaitwa qurantine, naweza kusema ni kama hawa jamaa wameishiwa sana ukiangalia nyimbo zima wamekopi nigeria yaani hii video kila sehemu ni kopi kopi tu, pia naona kabisa hii nyimbo haitafikisha viewa millioni moja ikitokea naombeni mnipe adhabu yoyote hata ya kuchapwa fimbo adharanii, mbwembwe zote wanatuletea uchafu mtupu
 
hhahah kweli Bongo hahhaha
 
Akopi apesti kinakuuma nini unamuongezea views tu nimeona lawama zako imebidi nikauangalie maana nilikua sina mpango af unategemea asifikishe 1M views..
Anyway zuchu katisha sana kwenye nyimbo
 
Wakuuu nimeusikiliza wimbo wa wcb ft diamond platnumz unaitwa qurantine, naweza kusema ni kama hawa jamaa wameishiwa sana ukiangalia nyimbo zima wamekopi nigeria yaani hii video kila sehemu ni kopi kopi tu, pia naona kabisa hii nyimbo haitafikisha viewa millioni moja ikitokea naombeni mnipe adhabu yoyote hata ya kuchapwa fimbo adharanii, mbwembwe zote wanatuletea uchafu mtupu
Jamaa unakili sana, yani unaipromote nyimbo kijanja. Kuna watu walikuwa hawaijui sasa wataenda kuitazama kuthibitisha ulichoandika.
 
Mauno ya Zuchu me hoi,

Rayvanny hahaha comedian sana huyu dogo,

Lavalava umebadilika umependeza kama Chris Brown,

Mboso hicho kiuno ulichobinua kwema?

Mond chorus umeisimamia vizuri sana, kama hutaki vile,

Queen Darleen shoga angu mmh, sema nini watakuelewa tu one day yes.

Boost your Immune System to fight a Covid-19.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom