Huu wimbo mpya wa WCB ft Diamond qurantine wamekopi hapa??

Sharobaro la jf

JF-Expert Member
Apr 23, 2020
220
250
Wakuuu nimeusikiliza wimbo wa wcb ft diamond platnumz unaitwa qurantine, naweza kusema ni kama hawa jamaa wameishiwa sana ukiangalia nyimbo zima wamekopi nigeria yaani hii video kila sehemu ni kopi kopi tu, pia naona kabisa hii nyimbo haitafikisha viewa millioni moja ikitokea naombeni mnipe adhabu yoyote hata ya kuchapwa fimbo adharanii, mbwembwe zote wanatuletea uchafu mtupu
 
Killmonger

JF-Expert Member
Jan 11, 2015
1,797
2,000

hhahah kweli Bongo hahhaha
 
King snr

JF-Expert Member
May 25, 2015
1,105
2,000
Akopi apesti kinakuuma nini unamuongezea views tu nimeona lawama zako imebidi nikauangalie maana nilikua sina mpango af unategemea asifikishe 1M views..
Anyway zuchu katisha sana kwenye nyimbo
 
sjosh4

JF-Expert Member
Apr 10, 2020
314
250
Wakuuu nimeusikiliza wimbo wa wcb ft diamond platnumz unaitwa qurantine, naweza kusema ni kama hawa jamaa wameishiwa sana ukiangalia nyimbo zima wamekopi nigeria yaani hii video kila sehemu ni kopi kopi tu, pia naona kabisa hii nyimbo haitafikisha viewa millioni moja ikitokea naombeni mnipe adhabu yoyote hata ya kuchapwa fimbo adharanii, mbwembwe zote wanatuletea uchafu mtupu
Jamaa unakili sana, yani unaipromote nyimbo kijanja. Kuna watu walikuwa hawaijui sasa wataenda kuitazama kuthibitisha ulichoandika.
 
Top Bottom