Huu uvumi wa watu kuuza sarafu za sh 500 unaukweli kiasi gani?

gimmy's

JF-Expert Member
Sep 22, 2011
3,305
3,327
Kuna ukweli kiasi gani kwenye hili wanajamvi?
Hata hivyo huku mtaani hizo sarafu zimeadimika jambo ambalo ni ishara labda lisemwalo lipo.
 
Mi siamini. Mbona kuna supermarket hawanaga noti za 500. Ingekua kweli yule muhindi asingezitoa hizo coin km change
 
Zile safar mzunguko wake ni mdogo sana kwa mikoan huwa znaishia hapa dar kwanza hila nahic BOT lazma wanahujumiwa maana kuna ambao wanaish kwa ujanja ujanja kuwadanganya watu et ni silver wanayeyusha na serikali ipo itawashughulikia
 
Hahaha,aisee
Ndio maana,sishangai,na Mleta Post lazima ni Mwanaume wa DAR
Fanya kazi kijana acha maisha ya kuungaunga na ujanja ujanja
Kwa akili yako jinsi zilivyo hovyo ndio maana unaropoka,
Inawezekana kabisa hizi coin zikawa zinahujumiwa ni humu ndio miongoni mwa sehem mahususi zenye kufikisha taarifa kwa mamlaka husika.
 
Back
Top Bottom