Huu uume una nini tena?

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,468
911,172
Jioni hii the CITIZEN TV ya Kenya inatuarifu juu ya mwanaumme kakatwa uume wake na watu wasiojulikana na hivyo kufanya nia zao hizi zisijulikane.......Hivi sasa mwathirika huyo yupo hospitali ya Thika akipambana kuokoa maisha yake........tusichojua hadi sasa ni nia ya hao watu waovu...kama ni ushirikina au kisasi kwa mwizi wa mke wa mtu au wake za watu...............au mengineyo nje ya hapo...................

Huu uume mbona unaandamwa hivyo...................................kuna nini hapo?
 
Ukikarwa Unakua kama boya tu Kama vile umekatwa kichwa.......Jeuri yote kwisheney
 
Jamani huko Kenya vuvuzela ni dili sana,mara nyingi wanavizia vuvuzela za walevi waliokata network. Huwa zinatumika kwa mambo ya kishirikina,híi nilipata toka kwa rafiki yangu Mkenya.
 
Duh, ni kama gari imenyofolewa injin, sasa imebaki body tuuu. Je utaiita gari? nafikiri huyo jamaa tumtafutie jina lingine siyo mwanaume tena.
 
kwa hiyo mnamaanisha mwanaume akikata center bolt ama network ikikata ana-cease kuwa mwanaume? mi nilidhani ndo atapendwa zaidi na mkewe manake hata ule wasiwasi wa kuibiwa unaisha!
 
ukikata mtaimbo wangu utakuwa umeniondolea starehe duniani hapa,uume ni sehemu kubwa ya mwanaume katika maisha
 
Mhhh hapo sijui apewe jina gani maana ile kitu inayomfanya aitwe mwanaume imeondoka.
 
kwa hiyo mnamaanisha mwanaume akikata center bolt ama network ikikata ana-cease kuwa mwanaume? mi nilidhani ndo atapendwa zaidi na mkewe manake hata ule wasiwasi wa kuibiwa unaisha!
Acha utani arifu
 
Maskini weee! mwanamme wawatu Dubai pia kuna babu wakiarabu alikatwa uume wake na mfanya kazi wake wa ki Ethiopia lakini yeye alisafirishwa Bangkok amepona lakini sijui kama utakua bado unafanya kazi,na huyo Mkenya ndio wameondoka nao kabisa mtumeee!
 
Jamani huko Kenya vuvuzela ni dili sana,mara nyingi wanavizia vuvuzela za walevi waliokata network. Huwa zinatumika kwa mambo ya kishirikina,híi nilipata toka kwa rafiki yangu Mkenya.

kwenye ushirikina malengo huwa ni kufanikisha nini?
 
Maskini weee! mwanamme wawatu Dubai pia kuna babu wakiarabu alikatwa uume wake na mfanya kazi wake wa ki Ethiopia lakini yeye alisafirishwa Bangkok amepona lakini sijui kama utakua bado unafanya kazi,na huyo Mkenya ndio wameondoka nao kabisa mtumeee!

iko shida sana humu duniani..............................
 
Back
Top Bottom