Huu utofauti wa vijana wa CCM na Chadema unatokana na nini?

BALAGASHIA

JF-Expert Member
Jan 21, 2017
392
500
Katika misingi ya kujenga hoja naona kama vijana wa Chadema wako vizuri sana. Kwani vijana wa CCM hawasomi shule hizihizi wanazosoma vijana wa Chadema?

Kuna nini CCM mi sielewi, ni kweli chama kimekubali kuwa na mtazamo wa vijana wa kusifia tu.

Kila nikiwaangalia vijana wa CCM nahisi kuna wanatendewa.
 

Kinoamiguu

JF-Expert Member
Nov 29, 2018
5,684
2,000
Kids kijana kule Twitter n ana mtag mpaka raisi kwa mambo ya kujinga sana

Suala la yeye kuwa na mapenzi ya jinsia moja anataka liwe la kimataifa!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom