Huu utamaduni CHADEMA wameutoa wapi?

Waziri wa madini

JF-Expert Member
Jun 12, 2019
379
465
Natamani kujua mshauri mkuu wa CHADEMA kwa sababu badala ya kujikita katika kujenga chama wanajikita katika kuanzisha kampeni ambazo wala hazina tija.

Nimesikia baadhi ya wanachama wa chadema wakisema watasusia kutumia mtandao wasimu wa Airtel Sasa jamani kususa ndio imekuwa Sera ya chadema au ndio tunaelekea kufeli

Nakumbuka walitangaza hivyo hivyo kwa mtandao wa Voda wakaja na tigo na Sasa airtel Sasa waungwana naomba kuuliza inamaana mnataka tusitumie simu au?

Na kwanini mnataka kuwaaminisha watu kuwa kila mnachofanya ni sahihi na kila anayeenda kinyume na nyinyi ni mpotevu .

Chama kijengwe katika misingi mizuri ili kilete matunda mazuri CDM mnachakujifunza kwa zzk
 
Nataman kujua mshauri mkuu wa chadema kwa sababu badala ya kujikita katika kujenga chama wanajikita katika kuanzisha kampeni ambazo wala hazina tija.
Nimesikia baadhi ya wanachama wa chadema wakisema watasusia kutumia mtandao wasimu wa Airtel Sasa jamani kususa ndio imekuwa Sera ya chadema au ndio tunaelekea kufeli,nakumbuka walitangaza hivyo hivyo kwa mtandao wa Voda wakaja na tigo na Sasa airtel Sasa waungwana naomba kuuliza inamaana mnataka tusitumie simu au?na kwanini mnataka kuwaaminisha watu kuwa kila mnachofanya ni sahihi na kila anayeenda kinyume na nyinyi ni mpotevu .
Chama kijengwe katika misingi mizuri ili kilete matunda mazuri CDM mnachakujifunza kwa zzk
Kila story ya kwenye vijiwe vya kahawa unaiamini?
 
Kwenye space huko Twitter viongozi wa chama walisema tuisusie Tigo lakini baada Mwezi na nusu wakaja kuomba michango kupitia bank na mitandao ya simu miongoni mwa namba zilizowekwa kuombea michango na Tigo pesa ilikuwepo alaf saa hiyo mi nimeshavunja laini yangu ya Tigo
Ndo nikajua kumbe huwa nasikiliza wendawazimu
 
Nataman kujua mshauri mkuu wa chadema kwa sababu badala ya kujikita katika kujenga chama wanajikita katika kuanzisha kampeni ambazo wala hazina tija.
Nimesikia baadhi ya wanachama wa chadema wakisema watasusia kutumia mtandao wasimu wa Airtel Sasa jamani kususa ndio imekuwa Sera ya chadema au ndio tunaelekea kufeli,nakumbuka walitangaza hivyo hivyo kwa mtandao wa Voda wakaja na tigo na Sasa airtel Sasa waungwana naomba kuuliza inamaana mnataka tusitumie simu au?na kwanini mnataka kuwaaminisha watu kuwa kila mnachofanya ni sahihi na kila anayeenda kinyume na nyinyi ni mpotevu .
Chama kijengwe katika misingi mizuri ili kilete matunda mazuri CDM mnachakujifunza kwa zzk
Huyo ndiye msemaji na mtoa maamuzi ya CHADEMA?Mbona unajionesha upunguani wako kwenye mwanga hivyo?
 
Back
Top Bottom