Huu utakuwa ushamba

100 others

JF-Expert Member
Aug 5, 2017
3,599
12,022
Upo na wana(marafiki), mnatoka mahala mkapate mbili tatu na kubadilishana mawazo, mnapanga location fresh... mnakwenda sehemu kuna mziki na pamechangamka...

Cha ajabu unakuta rafiki wooote let say ni watatu, wanabofya misimu wana surf... insta..whatsapp.. fb... n.k...

wengine wanapiga picha vinywaji na vyakula(kama wanawake)... wengine wanacheka wenyewe kwa kutazama status... yaani kila mtu yupo busy na simu...

Asee huwa inaniboa sana..., kwa sababu haileti mantiki , simu unayo 24X7... utaitumia ukifika nyumbani... sasa kuna maana gani ya kuwepo kwenye tukio?

Kaa sehemu kula , kunywa, enjoy mziki, nyanyuka cheza kidogo, badilishana mawazo, ongeleeni na kupeana michongo ya hapa na pale, story za kuvunja mbavu... , amepita mrembo msifie, ilimradi tu ku enjoy...

Siku hizi natoka mwenyewe... sitakagi ujinga...
 
Tatizo ni huo muziki, sauti ni kubwa mno, kuongea msikilizane ni mpaka ukaze misuli ya shingo, muite meneja mwambie aweke muziki laini, sauti ndogo kama unataka kuongea.
 
Upo na wana(marafiki), mnatoka mahala mkapate mbili tatu na kubadilishana mawazo, mnapanga location fresh... mnakwenda sehemu kuna mziki na pamechangamka...

Cha ajabu unakuta rafiki wooote let say ni watatu, wanabofya misimu wana surf... insta..whatsapp.. fb... n.k...

wengine wanapiga picha vinywaji na vyakula(kama wanawake)... wengine wanacheka wenyewe kwa kutazama status... yaani kila mtu yupo busy na simu...

Asee huwa inaniboa sana..., kwa sababu haileti mantiki , simu unayo 24X7... utaitumia ukifika nyumbani... sasa kuna maana gani ya kuwepo kwenye tukio?

Kaa sehemu kula , kunywa, enjoy mziki, nyanyuka cheza kidogo, badilishana mawazo, ongeleeni na kupeana michongo ya hapa na pale, story za kuvunja mbavu... , amepita mrembo msifie, ilimradi tu ku enjoy...

Siku hizi natoka mwenyewe... sitakagi ujinga...
Chakata Mbususu wewee acha kelele
 
Back
Top Bottom