Huu usiri wa mtuhumiwa wa mauaji ya mwangosi uangaliwe

msemakwelii

JF-Expert Member
Sep 12, 2011
216
47
Wana JF Kuna kitu sielewi kuhusu Mtuhumiwa wa mauaji ya Mwangosi kwa nini mara zote anapopelekwa mahakamani anafichwa sura na sijaona hata mwandishi mmoja aliyeweza kupiga picha halisi ya mtuhumiwa huyo na kutuletea, Hivi ni kweli Polisi wanawazidi akili Waandishi hata pale ndani mahakamani au hawaruhusiwi kupiga picha ndani ya mahakama, au polisi wanatuletea Kanyaboa mahakamani siku zote
 
mi nahisi huyo jamaa alishaondoka nchini siku nyingi tu usikute anayeletwa mahakamani ni mfungwa ambaye alishahukumiwaga miaka ya nyuma maana hakunaga popote duniani nishasikia mtuhumiwa anafichwa sura usikute hata si yeye si unajua this is Tanzania home of corruption and mpiito wa upepo
 
Hakuua kwa makusudi ni marehemu alisogeza tumbo lake kuona Kama risasi inaweza kupenya ndani ya tumbo.
 
EEEEE MUNGU msamehe mtu
huyu!!! Wingu SIKUOMBEI MABAYA, ILA NAOMBA
MUNGU AKUONJESHE UCHUNGU ALIOUPATA MKE WA MWANGOSI!! amen!

Amen!! Watu wanaleta maskhara mpaka kwenye uhai wa watu!
 
Last edited by a moderator:
Damu ya Mwangosi itawatafuna wahusika wote tu!! Damu inaita, damu inalia, damu ina machozi!! Laana hii itafika hadi kizazi cha nne cha wahusika wote.
 
Hakika hata Mimi napata dhana Hiyo, Mi sijawahi kuona mtuhumiwa anapandishwa kizimbana eti amefichwa sura
mi nahisi huyo jamaa alishaondoka nchini siku nyingi tu usikute anayeletwa mahakamani ni mfungwa ambaye alishahukumiwaga miaka ya nyuma maana hakunaga popote duniani nishasikia mtuhumiwa anafichwa sura usikute hata si yeye si unajua this is Tanzania home of corruption and mpiito wa upepo
 
labda wanamficha sura kwa sababu huyo waliyempeleka mahakamani ukute sio hata yeye ni lofa tu waliyemuokota huko barabarani wakamzushia kesi..chezea bongo
 
Atakuonjesha wewe unaetumika bila kujijua amin.Halafu unajidai unataja mungu mbona wale waliomtuma walimkimbia.Ametesa familia wakati waliomtuma wapo Dar na wake zao.Mbavu kabisa ungekuwa na huruma ungewazungumzia wale waliomtenga ambao sasa hivi wanakula kuku
EEEEE MUNGU msamehe mtu huyu!!! Wingu SIKUOMBEI MABAYA, ILA NAOMBA MUNGU AKUONJESHE UCHUNGU ALIOUPATA MKE WA MWANGOSI!! amen!
 
Atakuonjesha wewe unaetumika bila kujijua amin.Halafu unajidai unataja mungu mbona wale waliomtuma walimkimbia.Ametesa familia wakati waliomtuma wapo Dar na wake zao.Mbavu kabisa ungekuwa na huruma ungewazungumzia wale waliomtenga ambao sasa hivi wanakula kuku
usamehewe! hujui USEMALO!
 
Changa La Macho! Muuaji alikuwa mrefu kweli lkn anayeletwa mahakamani mfupi...Hapo ni kekundu tu.
 
yani katika watu waliokosa ustaarabu wewe unweza kuwa wa 2 Baba yako dhaifu wa kwanza mana inaonekaa hatanyumbani kwako hnaga busara.
 
kati ya wewe na mkeo/mumeo mwenye busra ni mkeo mana!! ungekuwa jirani ningeku..............tigo wewe. yani wenzio wana nyoyo za thimanzi wewe ndo unaleta puma zko hmu JF jirekebishe we ndugu yangu.
 
Back
Top Bottom