huu ushamba mwingine? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

huu ushamba mwingine?

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by KIFARU, May 12, 2009.

 1. KIFARU

  KIFARU Senior Member

  #1
  May 12, 2009
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 172
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Asubuhi moja mama mwenye nyumba baada ya mumewe kwenda kazini, alimuita mfanyakazi akafanye usafi katika chumba chao,baada ya muda mfanyakazi akaita,'' mama,mama'' njoo uone, baada ya mama mjengo kufika akamuonesha kondomu aliyoiokota huko chumbani imeshatumika, mfanyakazi akamuuliza, mama hii ni nini?,mama mjengo akamuambia ebu toka huko kwani huko kwenu hamfanyi?,mfanyakazi akamjibu,''tunafanya lakini sio kama hivi mpaka ngozi inavuka'',mama mwenye mjengo akabaki duuhh
   
 2. Kyakya

  Kyakya JF-Expert Member

  #2
  May 12, 2009
  Joined: Apr 24, 2009
  Messages: 397
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  kAAAALI KWELIKWELI
   
 3. M

  Maamuma JF-Expert Member

  #3
  May 12, 2009
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 856
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Mmh! Kumbe hata kondomu wanaachiwa wafanyakazi kuokota? Kazi kweli kweli!
   
 4. Bazazi

  Bazazi JF-Expert Member

  #4
  May 13, 2009
  Joined: Aug 18, 2008
  Messages: 2,032
  Likes Received: 564
  Trophy Points: 280
  Huni mtego wa hatari. Unategemea nini mfanyakazi akitaka kuhakikisha kuwa kweli ngozi ya baba hutoka; mama mjengo hali yake itakuwaje.

  In short mama mjengo hajui majukumu yake na lazima aporwe MB**
   
 5. N

  Nampula JF-Expert Member

  #5
  May 13, 2009
  Joined: Sep 26, 2007
  Messages: 254
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mama mjengo naye katushika
   
Loading...