Huu upuuzi wa wakikuyu kumiliki Kenya utakwisha lini?


MY TAKE; Hivi Katiba mpya imesaidia nini Kama Mambo ya kijinga Kama haya bado yanaendelea?

pambana na ya mama na tozo kule kwenu., ya kenya uyaelewi na hauyawezi., fikiria jinsi ya kujikwamua kutokana na ufukara ulio kita mizizi, yaani ni wa ukoo, tokea mababu hadi vitukuu mko vile vile kifikra na pale pale tu kihali., wachana na kenya tupambane na vya kwetu.
 
Nimeikuta mahali ati wanadai wako Tanzania pia! 😅 😅 🤷‍♂️ 🤷‍♂️

Screenshot 2021-09-15 123831.jpg




MY TAKE
Huyu mpuuzi Moses Kuria anadai 40% of votes r coming from Kikuyus and yet they make up 17.13% of all Kenyans kapata wapi hiyo figure?
 
........... chama fulani kumiliki nchi bila kupigiwa kura utaisha lini?

Hii akikujibu tafadhali uniitishe nikuje bio.

Ya sisi WAkenya wachana nayo kabisa sisi achie wenyewe tunaweza... pambana na Hayanga yenu na Tozo na terrorist ya fixed just using resource ya TZ kwa mabo sio poa
 
Nimeikuta mahali ati wanadai wako Tanzania pia!

View attachment 1938706



MY TAKE
Huyu mpuuzi Moses Kuria anadai 40% of votes r coming from Kikuyus and yet they make up 17.13% of all Kenyans kapata wapi hiyo figure?
Huyo Moses Kuria analazimisha kuwa mgombea mwenza wa Rutto, sikuliza ujinga anaosema, eti nafasi ya running mate is not negotiable, unawezaje kuzungumza ujinga huu wakati Kuna Katiba ya nchi?, Kweli Kenya ni wakabila kupitiliza.
 
Back
Top Bottom