Huu upumbavu wa PF 3 utakoma lini?

Kuna vitu huwa havipotei kwakuwa kimya. Nikiwa na shauku, kinywa kikafu, bado nitumaini langu kuwa chakato la huyu bwana mkoloni...hapa akiwa "PF3" bado anamsumbua mwananchi wa Tanzania. Itakiwa ni aibu, kubwa tu kama bado inatumiwa.

Kama haya yeshajadiliwa hapa au bungeni, ofisi kuu za serikali na kupatiwa ufumbuzi, mniwie radhi kwani nilikuwa kwenye coma ya kufikiri, hela, rununu,luninga na kadhalika, hivyo basi uwezekano wangu kuwa nimekosa yaliyoganga.


Walakini kama shida hii ipo -siyo pf3 bali usumbufu wa hili Hospitalini na Polisi basi Ukomo wake utakuwa lini?
Ai
 
CORRECTION
sorry nipipaste vibaya ni
www.policeforce.go.tz
Poleni kwa wote walioathirika na PF3 ktk huduma za matibabu lakini tukumbushane tu kuwa PF3 ni takwa la kisheria ila kwa mgonjwa wa dharura au tunaita life threatening condition to mtoa huduma anatakiwa kutumia taaluma yake ktk kuokoa Maisha kama inavyotokea pale ajali inapotokea hakuna anayeulizwa PF3 ila Police watafika na kutoa PF3.Mchango wangu mdogo ktk kukumbushana tu.
 
Kwa Bunge Tukufu,
Kwanza mbarikiwe wabunge wote mliofunga mwezi mtukufu. Nilibarikiwa kwa unyenyekevu wenu.
Pili, mbarikiwe kwa kutuwakilisha kwa amani.

Toba:Hili la PF 3 bado ni nung'uniko langu, na kama sijakosea ni la wengi.

Kama ni kweli tutakuwa kinara wa Afrika. Tuondoe sheria za kikoloni. Nani atawashitaki? Jeuri yenu imo wapi?

Nawasilisha
 
Back
Top Bottom