ibesa mau
JF-Expert Member
- Sep 17, 2015
- 2,109
- 1,697
Baada ya figisu figisu za uchaguzi wa mwaka 1995 cuf walifanya tathmini na moja ya mkakati wao ulikuwa ni kuhahakisha baada ya miaka ishirini mbele wanashinda chaguzi zote kwa tofauti kubwa ya kura lakini kura nyingi zitoke upande wa pemba. Hivyo uliwekwa mkakati wa vijana wa pemba kuoa wanawake wengi kuanzia wanne na kuendelea na kuhahakisha vijana hao wanakuwa na watoto wengi kuanzia sita na kuendelea.. Ndio maana leo tunashuhudia pemba ina watu wengi sana huku watu wa unguja waking'aang'aa tu. Wapemba wanao ishi unguja wameongezeka mara tano zaidi , na wale wapemba wanao ishi mkoa wa mjini magharibi nao wameongezeka zaidi.Watu wenye miaka 18- 20 ndio wengi zaidi pemba . Hata leo hii wakirudia uchaguzi zanzibar ccm haiwezi kushinda itaachwa kwa kura nyingi tu isipokuwa tu hofu ya cuf wataweza kukabiliana na figisu figisu za ccm ambazo mara ya mwanzo waliweza kuzikabili.
Nimeupenda huo mkakati wa muda mrefu, je unafikiri chadema wakiwa na mkakati kama huo kwa tanzania hususani kwa vijana wa maeneo ambayo wanakubalika kama vile kanda ya kaskazini, jiji la dar es salaam , mbeya na kwingine hawawezi kushinda uchaguzi miaka 20 ijayo.

Last edited: