Huu ujumbe unawahusu WanaJF wote, tuwakumbuke wazazi wetu

Chukwu emeka

JF-Expert Member
Jan 12, 2018
23,404
36,543
Pamoja na kutokuwa Muslim ila huwa nasikiliza mara kwa mara mafundisho ya Mashehe, huwa wanakuwa na maneno yakutoa ujumbe mzuri sana kwa jamii, hasa vijana wa kileo. Tunajisahau na kusahau tulikotoka hasa tukiwa na vijisenti vya kubadilisha mboga.

Nawewe msikilize huyu Mheshimiwa.
 
meme moja hv ikasema asanteh mwanangu ni bora kuliko ahsante bby, dah ngoja nibonge na mzee kwnz
 
Nikitaka kuview hiyo attachment simu yangu inarudi home page, mara nyingi tu huwa inantokea msaada tafadhali.
 
Back
Top Bottom