Huu ujinga wa wajinga wachache na ukome sasa!

Ndugu unaishi kwa dada?wanaoishi kwa shemeji zao huwa hawajui ugumu wa maisha,wao ni kula kulala wakivimbiwa wanakuja kujamba uharo huku.
kwa kifupi mazingira ya kazi zote iwe biashara kulima na mfanyakazi bdo c rafiki.
kilimo bdo kuna shda ya masoko na pembejeo mfano mzuri mahndi gunia ilikuwa hadi 15alfu.
 
Hoja dhaifu sana!
 
Kwa kipindi kirefu wajinga wachache wamekuwa wakituaminisha eti hali ni mbaya kwa kila kitu.Ujinga!

Hivi unatarajia Magufuli aje akuwekee pesa mfukoni?

Hivi Magufuli akufundishe kufanya kazi kwa bidii ili ujipatie kipato?

Hivi Magufuli aje kwako/shambani akufundishe namna ya kulima?

Hivi Magufuli aje kijiweni akukumbushe kukaa kijiweni na kuzurula hovyo hakutakupa kipato?

Ujinga kabisa!

Na mimi nasema mtu mzembe na si afe na tu njaa bali pia akaozee hata jela.Ujinga huo wa enyi wajinga kuzurula pasi na kufanya kazi na mfe kabisa!

Ikumbukwe asiye fanya kazi na asile.
:D:D:D HAPA KAZI TU HUU MSEMO NI HATARII

wamekalia kusema Maisha magum wakati bia zinaisha kwa kasi kwenye maclubs na mabaaaaaa

ukiona Maisha yako ni magum fikiria uliopo kosea utatoboa

vijana wamekua wengi,usharabaro mwingi kazi ngum hawataki madem sana bata kama zote pia kwenye mitandao ya kijamii ndio motooooo

watanzania tunahonga mitaji mnategemea nini

MAGU PIGA KAZI,LISU WE ENDELEA KULA BATA UKO DUNIANI MAANA JIMBONI KWAKO STAND YA BASI HAINA TOFAUTI NA YA-VIPANYA:D:D
 
Back
Top Bottom