Huu uhusiano siuelewi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Huu uhusiano siuelewi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by NATA, Apr 19, 2011.

 1. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #1
  Apr 19, 2011
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Naona wakati wa mvua magari yanakuwa na msongamano mkubwa sana
  Je Kunauhusiano gani wa mvua na foleni?
   
 2. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #2
  Apr 19, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  Mvua ikinyesha, watu hugwaya kuingia barabarani, mara tu ikiacha, wote huingiza magari barabarani hence foleni. Pia wakati wa mvua madereva huendesha gari zao polepole... Nadhani sababu ya utelezi.
   
 3. U

  Uswe JF-Expert Member

  #3
  Apr 19, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  halalafu kuna wakati tunapita rough roads kukwepa foleni, lakini ikinyesha mvua hamna kiumbe anenda hizo rough roads, so wote wanajaa barabara kubwa
   
 4. Pilato2006

  Pilato2006 Senior Member

  #4
  Apr 19, 2011
  Joined: Aug 25, 2008
  Messages: 122
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Wakati wa mvua, gari nyingi huingia barabarani, tax n.k Watatu hulazimika kutumia gari hata sehemu waendayo ni karibu, pia traffic huingia mitini kwenye maungano mf. Fire, Magomeni, Tazara ubungo n.k
   
 5. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #5
  Apr 19, 2011
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Do asanteni sana kwa majibu fasaha kabisa. Nimeelimika!
   
 6. Shadow

  Shadow JF-Expert Member

  #6
  Apr 19, 2011
  Joined: May 19, 2008
  Messages: 2,908
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Lakini, mvua zimekuwa zikinyesha lately! kwa nini iwe ndani ya siku mbili hizi? nilitegemea hii 'likizo ya Pasaka' ingepunguza foleni lakini ndo imeongezeka sana toka jana.
   
 7. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #7
  Apr 19, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Pia wakati wa mvua traffic police wanaenda kuegama na pale eneo wanapo patikana kunakua na msongamano wa gari (I think)
   
 8. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #8
  Apr 19, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,982
  Likes Received: 729
  Trophy Points: 280
  Mengine pia hubuma kutokana na nishati inayotumika,kutoona mashimo/madimbwi,kutoona vizuri kwa dereva na ubovu wa miundombinu kwa ujumla (barabara,taa etc).
   
 9. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #9
  Apr 19, 2011
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Hapo ndipo ninapo ishiwa nadhani zile za grey zingempendeza sana na kumuongezea heshima zile zinazotolewa kwa ajili ya umri.
   
 10. F

  Froida JF-Expert Member

  #10
  Apr 19, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,900
  Likes Received: 1,328
  Trophy Points: 280
  Mseveni hiyo suti vipi hakukuwa nawa kumnyooshea
   
 11. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #11
  Apr 19, 2011
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Labda alilala usingizi anaogopa klupaa juu
   
 12. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #12
  Apr 19, 2011
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 9,127
  Likes Received: 3,316
  Trophy Points: 280
  Uwaga najiuliza d same question...usafiri pia unakuwa wa shida (daladala)
   
 13. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #13
  Apr 19, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Madereva wanaogopa maji
   
 14. N

  NAHUJA JF-Expert Member

  #14
  Apr 19, 2011
  Joined: Aug 1, 2007
  Messages: 15,025
  Likes Received: 15,595
  Trophy Points: 280
  lami inateleza sana
   
Loading...