Huu Ugonjwa mpya ulioingia nchini Tanzania na unaonza Kukomaa unaitwaje?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,517
108,795
Unakuta Mtu hawasiliani nawe hata kwa Mwezi mmoja hadi hata mitatu lakini ukiweka tu Picha ya Demu au Mwanaume katika WhatsApp dp yako haraka sana utaona anakusalimu Kiufupi mno ila maelezo na maswali yake mengi yanakuwa katika hiyo Picha iliyopo. Kwahiyo kilichomvuta hapo Kuwasiliana nami ni Mimi kama Mimi ' Swahiba ' au ' Shosti ' wake au ni hizo Picha?

Huu Ugonjwa unaitwaje kwani naona unazidi tu Kuota Nyasi hasa kwa Watumiaji wa Mitandao nchini.

Nawasilisha.
 
Wamekutafuta nini mkuu
Pengine wanataka kumfahamu shemeji au wifu yao au pengine wanahabari zake wanataka kukueleza

$ There's clear light at the end of the Tannel $
 
Unakuta ' Lijitu ' unaliona kabisa ' Online ' mara kwa mara lakini wala halikusalimii ila ukiweka tu Picha ya Mwanamke utaliona linaanza Kutiririka na Kuserereka kwa Kukuandikia Mimeseji ya hapa na pale lakini ' Focus ' yake Kubwa ni kwa huyo uliyemuweka katika WhatsApp dp yako.
 
Mkuu umenikumbusha sana Kuna manzi nilikuwa mae akanipiga fix simu yake imeharibika so nimuongezee pene kidogo asogeze simu mpya mwanaume nikauchuna tu nayeye akauchuna Cha ajabu daily naliona online na status zangu linaview afu apo napata maumivu ya hapa na pale moyoni...

Basi siku moja nikachukua pics ya manzi mkali hivi alikuwa rafiki angu sana tu chuo nikatupia status ile limeview likacomment unajua kuchagua na brabra nyingine nikauchuna ikawa tabia yangu napoa Kama siku tatu napandisha nyingine huku huyo mdada nishamuomba kuwa niwe naweka status pics zake after few weeks akaanza nitext mwenyewe na uongo wa hapa na pale nalisoma tu ... Binafsi huwa siwaelew kbs wanawaza nn...

Typed Using KIDOLE
 
Ungemmalizia kwa kumtumia Meseji ya bonge la Msonyo Mkuu.
 
Unakuta ' Lijitu ' unaliona kabisa ' Online ' mara kwa mara lakini wala halikusalimii ila ukiweka tu Picha ya Mwanamke utaliona linaanza Kutiririka na Kuserereka kwa Kukuandikia Mimeseji ya hapa na pale lakini ' Focus ' yake Kubwa ni kwa huyo uliyemuweka katika WhatsApp dp yako.
Kama unamuona online si uwe unamsalimia mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unakuta ' Lijitu ' unaliona kabisa ' Online ' mara kwa mara lakini wala halikusalimii ila ukiweka tu Picha ya Mwanamke utaliona linaanza Kutiririka na Kuserereka kwa Kukuandikia Mimeseji ya hapa na pale lakini ' Focus ' yake Kubwa ni kwa huyo uliyemuweka katika WhatsApp dp yako.
acha aserereke, ikibidi mjibu Ni GWIFIII yake haaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe hutaki kuanza kutoa salamu. Unategea uanze kusalimiwa. Huo ni utoto.

Man up.
 
Back
Top Bottom