huu udini! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

huu udini!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by JAYJAY, May 10, 2010.

 1. JAYJAY

  JAYJAY JF-Expert Member

  #1
  May 10, 2010
  Joined: Oct 31, 2008
  Messages: 2,307
  Likes Received: 680
  Trophy Points: 280
  majuzi ndugu yangu alikuwa anatafuta nyumba ya kupanga.dalali alimpeleka kwenye nyumba mbalimbali lakini kuna baadhi ya nyumba alimwambia kwamba mwenye nyumba anataka mpangaji wa dini fulani tu, yaani kama yake. sasa miimi nashangaa watu tunakuwa wanafiki kiasi hiki, mbona sijawahi kuona mfanyabiashara kama vile duka, usafiri daladala akichagua wateja kwa misingi wa dini .acheni unafiki jamani.
   
 2. bht

  bht JF-Expert Member

  #2
  May 10, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,297
  Likes Received: 136
  Trophy Points: 160
  as if hiyo dini ndo itakupeleka mbinguni
   
 3. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #3
  May 10, 2010
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,221
  Likes Received: 224
  Trophy Points: 160
  Nlidhani wameishia kwenye kuoa na kuolewa :confused3: sasa mpaka dini hio si balaa!!!
   
 4. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #4
  May 10, 2010
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  kazi kweli kweli
   
 5. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #5
  May 10, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,470
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 145
  Mwenye nyumba kigagula bin mshirikina. Nimeshaishi uswazi kadhia kaa hizo ni nyingi sana.
   
 6. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #6
  May 10, 2010
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,485
  Likes Received: 1,847
  Trophy Points: 280
  Licha ya kuchagua dini pia kabila hawataki mpangaji wa kabila la WAHAYA na WACONGO kisa wanavurugu
   
 7. O

  Omumura JF-Expert Member

  #7
  May 11, 2010
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 476
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Dini nzuri ni matendo yako, zaidi ya hapo ni unafiki na uzandiki tu!
   
 8. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #8
  May 11, 2010
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,054
  Likes Received: 3,804
  Trophy Points: 280
  Du yaani tumefika huko, hii kweli hatari.
   
 9. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #9
  May 11, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,914
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 160
  Wanao wakataa Wahaya itabidi wapimwe akili.
   
 10. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #10
  May 11, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,382
  Likes Received: 307
  Trophy Points: 180
  Jeez! si bure huyo mwenye nyumba ana u-crazy fulani badala ya kuangalia mahela unaangalia dini
   
Loading...