Huu udhalilishaji wa matajiri kwa wafanyakazi wao utaisha lini?

Harafu huyo mbwa nadhani ana asili ya Asia,sijui kwanini wanatunyanyasa nchini kweli? Ipo siku yao lakini,dereva anapaswa kuipeleka hii clip polisi akadai madai yake yote. Inaumiza sana.
Hata akipeleka clip police hakuna atakacho pata na anaweza kugeuziwa kibao na ndani aka wekwa maana police wetu ni wadhaifu sana kwenye pesa ndiyo maana unaona matajiri wengi wanazarau watumishi wao kisa wanajua hata ukienda kushitaki watakushinda tu kwa kutumia pesa yao!!
 
Daaah nimesikitika sana hawa wenye mali wanapenda sana wasujudiwe na kwa kuwa sasa hivi hali ya ajira ni ngumu basi wananyanyasa sana watu
 
Wakati mzazi alikuwa anaukazania mwanangu soma ya ulimwengu mazitoo hukumwelewa ukaona begi zito haya sasa mwanangu kuwa uyaone
Huyo tajiri anae tukana utakuta hana hata elimu ya darasa la saba, utajiri sio shule na wote hatuwezi kuwa ma boss, au matajiri, ulimwenguni tmeumbwa kutegemeana huwezi kufanya yote peke yako. Heshima ni kitu muhimu sana kwenye jamii uwe maskini au tajiri.
 
Watu wenye asili ya Asia ni wanyanyasaji sana wa wafanyakazi na ni mabingwa wa kulobe serikali. Utaona wanajifanya wanatoa misaada ya danganya Toto na kua jiran sana na viongozi kuanzia ma DC, RC, RPC, mpaka mawaziri. Moto wanaoupata wafanyakazi wa chini huku ni zaid ya utumwa
 
Achana nae huyo kwani Ali kiba,Diamond,Harmonize,Samatta nk muulize wamesoma wamesoma? Utajiri ni siri kubwa sana ni zaidi ya elimu hii ya darasani,,,elimu ya darasa itakupa maarifa lakini bado unahitaji zaidi kukaa na hawa matajiri kujifunza vitu vitakavyokuinua nankitu ambacho tunaojiita wasomi hatukijui kuwa Moja ya mbinu kubwa amabayo wanayo waliofanikiwa ni uvumilivu usiokuwa na kikomo sisi hatuna.
Huyo tajiri anae tukana utakuta hana hata elimu ya darasa la saba, utajiri sio shule na wote hatuwezi kuwa ma boss, au matajiri, ulimwenguni tmeumbwa kutegemeana huwezi kufanya yote peke yako. Heshima ni kitu muhimu sana kwenye jamii uwe maskini au tajiri.
 
Back
Top Bottom