Huu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Viongozi wetu hawakutimiza Majukumu yao ipaswavyo

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
16,672
2,000
Huu uchaguzi Sehemu nyingine hata sheria hazikufuatwa. Inashangaza kuona Vifaa vya kupigia kura vikiwa vimezagaa yani havina ulinzi wowote. Hii inaonesha ni jinsi gani Serikali haikujiandaa na huu Uchaguzi. Tuseme vifaa vilikua haviesabiwi?

Tukio hili limetokea Wilaya ya Bahi Mkoani Dodoma. Wilaya inaongozwa na Mkuu wa Wilaya Betty Chalamila Mkwasa (Mama Master).

Sanduku la kupigiwa kura likiwa limetelekezwa barabarani

Jamaa akalipitia kalifunga kwenye baiskeli kaondoka nalo. Haijulikani amelichukua kwa matumizi gani.
 
SOCIOLOGISTTZ

JF-Expert Member
Jun 16, 2013
2,606
1,225

Amelichukua ili akahifadhie nguo

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom