Huu Uchaguzi umesusiwa ?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Huu Uchaguzi umesusiwa ??

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Mwiba, Oct 31, 2010.

 1. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #1
  Oct 31, 2010
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Yaani natazama international News kote naona sioni sehemu ambayo inautaja uchaguzi huu wa Tanzania ,upo wa Brazil,Upo wa Somali au wamesahau kama nasi leo WaTz wanachagua Raisi ,basi wafuate madini yetu tu ? Au wanasubiri tutumbuane matumbo na kutoana machango ?? Ndio watangaze ingawa BBC lakini hawatoi kwenye Intenational level !!!
   
 2. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #2
  Oct 31, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  everybody knows that this is not an election but rather an exercise to erect CCM leader.

  Sijaona kwenye international news kwa week tatu mfululizo.
   
 3. Bantugbro

  Bantugbro JF-Expert Member

  #3
  Oct 31, 2010
  Joined: Feb 22, 2009
  Messages: 2,684
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Hawa huwa wanapenda sehemu zenye machafuko tu. Uchaguzi wenye amani sio nyuzi kwao...
   
 4. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #4
  Oct 31, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Nilikuwa nawatch CCN apa nkaona hola nkaenda BBC nkaona hola.
  Tz chini ya CCM tumefulia
   
 5. BUSARA6

  BUSARA6 JF-Expert Member

  #5
  Oct 31, 2010
  Joined: Jan 8, 2007
  Messages: 340
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35

  Hamtambuliki huko duniani!
   
 6. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #6
  Oct 31, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  unafikiri hata wao wanataka kusikia habari za CCM.....zimewachosha
   
 7. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #7
  Oct 31, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,040
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Wanajua kura zinachakachuliwa so sio issue kwao...
   
 8. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #8
  Oct 31, 2010
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Wazungu hawataki kusikia waafrika wamepiga kura kwa amani,kungetokea machafuko ungeona Tanzania kwenye TV zote za kimataifa.
   
 9. B

  Bi. Mkora JF-Expert Member

  #9
  Oct 31, 2010
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 375
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 33
  Aljazera wao wanaonyesha uchaguzi wa Cote D'Ivoire, Brazil.
   
 10. M

  Mnyakatari JF-Expert Member

  #10
  Oct 31, 2010
  Joined: Oct 25, 2010
  Messages: 1,557
  Likes Received: 488
  Trophy Points: 180
  But brazil hamna machafuko na still wanaripoti!mi nafikiri uchaguz wetu hauna mvuto!And its bcoz its not free and fair.Hata idadi ya waliojiandikisha imezidi idadi ya wenye umri kuanzia miaka 18 nchi nzima
   
 11. e

  elly1978 Senior Member

  #11
  Oct 31, 2010
  Joined: Apr 28, 2009
  Messages: 180
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  tumesusiwa mazima kwasababu ya utahaira wetu, kujisifu tu eti tumeleta heshima kubwa kwenye anga za kimataifa: uchaguzi huu ungetufaa sana kututangaza kimataifa tena bure kabisa
   
 12. The Dreamer

  The Dreamer JF-Expert Member

  #12
  Oct 31, 2010
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 1,280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  To do what (erect?). Please consult your dictionary otherwise you deserve a ban!

  Hapa watu wanasema Tanzania inaheshimika. Kwa lipi kutembeza kopo...hicho kitu kinanibore kweli kweli!
   
 13. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #13
  Oct 31, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  jamani wazungu wapo strait hawana longolongo na bongo ni longolongo kwa kwenda mbele ndomana awawataki mana wale wanapenda uwazi
   
 14. macho_mdiliko

  macho_mdiliko JF-Expert Member

  #14
  Oct 31, 2010
  Joined: Mar 10, 2008
  Messages: 6,435
  Likes Received: 2,308
  Trophy Points: 280
  CNN na BBC wametangaza kwa kifupi sana ... na wamesema CCM inakumbana na upinzani ambao haujatokea tangu uchaguzi wa vyama vingi uanze...
   
 15. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #15
  Oct 31, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,305
  Likes Received: 418,552
  Trophy Points: 280
  Wanafikiri.................it is business as ususal lakini kesho wakiamka na kusikia yaliyomkuta JK na CCM yake watahamia hapa............they all love controversy, don't they?
   
 16. Mwalimu

  Mwalimu JF-Expert Member

  #16
  Oct 31, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 1,475
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Tanzanians vote in presidential election - CNN.com
   
 17. K

  KIURE Member

  #17
  Nov 1, 2010
  Joined: May 8, 2009
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ni kweli ndugu zangu, hata mimi niko West Africa jioni hii ilikuwa na wenzangu tukiangalia Al Jazeera, CNN, BBC, SABC, CTVV lakini niliambulia aibu! Unajua leo pia ni uchaguzi mkuu wa Cote d Ivoire huo unatangazwa kila mara na station hizi! Tanzania ziiii umeshindwa kuuza jina la nchi. We angalia hata wanapotangaza hali ya hewa, hutaona jiji la Dar-Es-salaam, Kigali, Bujumbura, Lusaka, Mogadishu, Nairobi, Bamako n.k. wapo! Sisi tupo tupo tu! Haki ya mungu ukitaja TZ wanamkumbuka Julius K.N.! Yaani Tanzania inakumbukwa kwa ajili ya Mwalimu na si kitu kingine chochote!
   
Loading...